Sitosahau Siku Nilipoamua Kupima VVU

Sitosahau Siku Nilipoamua Kupima VVU

Feisal2020

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2018
Posts
1,329
Reaction score
3,399
Mimi Naua Bin Sana, mzaliwa wa pili na wa kwanza wa kiume ktk familia ya mzee Sana yenye watoto wane nikiwa, familia ambayo watu watatu (kati ya sita) waligundulika kuwa na maambukizi ya VVU, sina historia ya kupendeza katika mahusiano.

Binafsi nilianza kuwajua wanawake nikiwa bado kinda kabisa wa miaka 14, shule ya upili hapo. Ubaya ni kwamba binti yule alikua mkubwa kuliko mimi kwa hiyo yeye alikua pro zaidi..nadhan hiyo ndo ilipelekea yeye kuniambukiza Gonorrhea..nikaachana nae.

Nikanasa kwa binti mwingine mwanafunzi wa kidato cha tatu shule ya jirani. Yeye huyu nilimpora kwa rafiki yangu..'mahusiano' yetu yalidumu kwa siku 14 tuu akaniacha kwa kigezo kuwa anataka 'kumkabidhi Yesu maisha'..nikawa nimeachwa hivyo, nilikuja kusikia baadae kuwa alishindwa kuendelea na shule baada ya kugundulika ana ujauzito. Ujauzito aliopewa na jamaa mwingine mtaani pale..nilimshangaa sana 'Yesu' huyo!

Nilipoingia kidato cha tatu nikajihusisha na binti mwingine aliekuwa kidato cha tano shule jirani, ni kipindi hicho pia nilijihusisha na mwalimu wangu wa Physics.. Mwalimu alitaka kunisaidia kwani aliona napoteza muda na uwezo wangu 'anaoujua' kusoma masomo ya sanaa. Alitaka sana nisome Science..sikushangaa sana kwakua hata kuingiliana si ni 'Sayansi'? Dunia haina siri bwana, yalipomfikia mkuu wa shule ili kuepusha akamshauri baba anihamishe shule kwa sababu za 'utovu wa nidhamu' ambazo hakuzitaja, baba hakufanya ajizi..alipenda sana nisome. Akanipeleka mkoa wa mbali huko (ambako mpaka leo hakuna anaejua kwamba niliacha watoto wawili damu yangu kabisa).

Mwalimu wangu wa Sayansi alibashiri vema kuhusu uwezo wangu (wa darasani)..hata huko mkoa wa mbali nilizidi kuwakimbiza mpaka pale nilipobahatika kupasi kwenda elimu ya Sekondari ya juu kwa alama za kuridhisha..ningekua makini zaidi ningefanya vzr zaidi, kwani Naua mimi siku ambayo wenzangu wanafanya 'diskasheni' za mwisho kuingia kwenye mtihani nilikua mianzini nikiburudika na mke wa Balozi.

Huko 'Advance' niliwala sana mabinti wa o level. Wanafunzi wa o level waliona 'sifa' kutoka na wakaka wa Advance. Naua mimi nilikua na advantage ya pili kwamba nilichaguliwa kuwa General Secretary (GS) wa shule hivyo watoto walijilengesha sana kwangy, sikufanya ajizi. Licha ya ukweli kwamba ile shule ilikua Mkoa ambao ni wa pili kwa maambukizi ya VVU kwa wakati huo..na ktk mkoa huo Hiyo Wilaya ndo ilikua inaongoza. Siku zangu za majuto zilikua nyingi kuliko za furaha na amani..nilijuta kila nilipotoka kutiana na binti wa o level na kujiapiza kuwa sitorudia tena. Lakin mimi yule yule ungenifumania kwenye ofisi ya GS jioni na mwanafunzi mwingine tena!

Mtaani nilipokaa sikumuacha binti wa ri/li?ka langu hata mmoja, hata baadhi ya dada zao waliokatiza mbele zangu hawakubaki salama. Hakukua na 'wasomi' wengi mtaani, nikirudi likizo walijigonga sana!

Maisha yangu ya chuo hayakua rafiki pia. Tukiwa mwaka wa kwanza tuu niliwala wanawake wote tuliokuwa nao kundi moja la discussion, lilikua group la watu kumi huku wanawake wakiwa 6..niliwala bila wao kujuana na wote walibaki kuwa rafiki zangu.

Huko mtaani nako 'sikupoa'..niliwala mno. Wenyeji mabachela karibu wote niliwala..ikawa wakija wageni naambiwa nikajaribu bahati yangu..'bahati' yangu haikutaka kujaribiwa, ilikua on mda wote tuu. Ikafika kipindi nikafukuzwa na mwenye nyumba kwa madai kuwa naharibu sifa ya nyumba yake. Potelea pote bhna, mbona wapangaji wake wengi/kama sio wote ni wadangaji?! Wengi wanafanya kazi Lounge moja maarufu pale mjini (na nimewala wote) lakin hawafukuzi na wengine wakipata 'vichwa' wanaenda kuchinjia pale pale mageton kwao?! Nikasepa

Nyumba niliyoamia sikukaa hata mwezi ukaisha, mwenye nyumba alinifukuza kwa kuhisi natoka na mkewe! Yani alihisi tuu akanitimua, sikatai kuwa hisia zake zilikua sahih..lakin hakuwa na ushahidi, watu wengine ni waonevu sana.

Mtaa niliohamia nikaangukia kwa 'muuzaji' mmoja wa papuchi..mim hakuniuzia, alinipa bure kila nilipohitaji..akidai wanafunzi hatuna hela na mm kanipenda namkuna vizuri hahaa! Wakati huo nina wanawake zangu wawili ambao kila mtu anajijua ni main chick kwangu na wote we akaja kubeba ujauzito kipindi kinachokaribiana..hapo nikaja kugundua kuwa huyu 'muuzaji' ana VVU!! Kila niliemuuliza alisema ni kweli wao walidhan mi najua nimeamua tuu kujilipua nipate kitonga!! Rafiki yake mmoj akanambia kama siamin yeye aniambie siku ambazo huyu maza anachukua dawa anipeleke nikaone. Nikaona asinitanie huyu, anipeleke..nikahakikisha kuwa ni kweli! Nilikonda bila dayati/diet aisee!! Nikapata wasaa wa kuzikumbuka nyendo zangu! Nikahitimisha kuwa hapa tayari 'nimenasa'

Maendeleo yangu chuoni yakaporomoka, nikawa natumia muda mwingi kwenye pombe na sigara..zote kubwa na ndogo ambayo nilikua mdau kitambo sana. Sports ziliteketea sana mdomon mwangu!! Cha Malawi ndo usiseme..

Huku wanawake wangu kila mmoja kwa wakati wake akinisihi nimpeleke akaanze kliniki, mimi nikifikiria kuna kupima nakataa kwenda kwa kutoa visingizio mbalimbali. Ikafika nikindi vikaisha nikataka hata kusingizia nimekufa (utani)..ikabidi tuu niwakubalie. Nikaenda na mmoja, kufika kule bado akili haijaamua kwa dhati kupima. Nikamgomea daktari palepale, nikamwambia ampime tuu mama mtoto inatosha..mama mtoto alicheka sana, yeye akapima akakutwa mzima. Ngoja kwanza, sikuamini..tulivoondoka pale nikamfata baby mama mwingine nimpeleke kliniki. Mungu sio Babu Tale au Abdu Bonge, nae kupimwa akakutwa mzima. Hapo nikajipa moyo kuwa na mm ni mzima, ila kupima ndo mziki kama sio mtiti!!

Siku moja nikapata ujasiri wa kwenda kupima, kuhusu ujasiri wa kupokea majibu bado sikua na uhakika kama ninao. Nilipimwa nikaambiwa nirudi baada ya dakika 30 kuchukua majibu. Hapo nilijishauri sana, nikaenda ghetto kwa mshkaji wangu tukalipua sana 'kitu' muda ulipowadia nikaenda kuchukua majibu..Mungu sio Seven vipimo vikaonesha -ve!!! "How?" Nilijikuta nimeuliza kwa sauti hadi ikabidi daktari aniulize kwanin nimekua excited hivyo, nikamuelezea..ikabd a arrange siku nyingne tena nikapime, bado ikawa -ve!! Nikamuomba anipime tena, majibu yakawa yaleyale. Mwezi mmoja baadae nikapima tena bado nikakutwa mzima!!

Sikuamini na mpka sasa sijaamini ndiyo maana mpaka leo kujikinga na kupima kila baada ya miezi miwili imekua desturi. Sijui niliponyoka vipi pale
 
Unaweza fikiri kusubiri vipimo vya HIV ndo inatisha..
Waulize wamama wanaosubiri vipimo vya DNA..

Au uliza wanaosubiri majibu ya kamishna wa wa ardhi wakati washajenga Kwenye kiwanja na pesa za mkopo
 
Mim ni miongoni mwa watembeza rungu lkn mkuu we nmekunyooshea mikono

Mkuu ilifikia kipindi unatunukiwa show bure

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ulishapima? Ilikuwaje?
Yaani HIV tu ndio unapiga mayowe kiasi hiki mkuu..!!
Je ingekuwa COVID-19..??
Je ingekuwa Hepatitis B..??
Mkuu, ebu tuliza mtego huo. Mbona watu wana HIV+ na wanakula shudu kama kawaida plus bata na maisha yapo mukide.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom