Sitosahau niliponusurika 'kufumuliwa marinda'

Shida yote ya nini bora uwe muaminifu
 
principle namba moja ukienda kufumania usiwe mwenyewe, tafuta vidume zaidi ya vinne huku mkiwa na silaha
 
Jamaa lina roho mbayaa
 
Vipi ka mumewe ka hack simu yake na a nafatilia mawasiliano call had location. Ukikutana na mfatiliaji wafwa marinda yako
Wakati mnaingia tu kwenye gar.. mnyang'anye simu yake.. zima kabisa
 
Duuu aiseee
 
Kweli aise. Huu uzi unentisha sana. Koz kuna mmoja anajilengesha hapa.. sasa sijui niache..
 
Yani wote walipigwa mashine
 
Siku zote ukihisi kufumaniwa fanya yafuatayo ili kuepa;-
Kwa kuwa kurupshani utaanza kuzisikia kabla hawajagonga mlango we wawahi tu jifanye wee vampire mmoja hatari sana kutokea duniani.

Fanya hivi; - hakikisha ufunguo uuweke sehem nzuri then ingia bafuni, kisha zuga mashetani yamekupanda, toa macho, ulimi njenje, tanua mikono na miguu, anza kupiga kelele hukohuko bafuni kwanza then anza kutoka huko huku ukisema nataka damuuuuuuuu..., nataka damuuuuuuuu, nataka damuuuuuuuu.... huku unamfuata yule demu,

Najua ataanza kutafuta sehemu ya kutokea then mshike kwa kumkosakosa ili akuponyoke, hafu jifanye umedondosha ufunguo ili auone, anza kutazama huku na kule fully kelele, huku unategea kumshika ili afungue mlango atoke, akitoka tu unga naye mpaka nje, then pitiliza hukohuko.

NB; time the time before time times you!
 
Sikupongezi kwa tabia hiyo mbaya ya kula wake za watu lakini una akili ndefu na ndio ilikuokoa katika mazingira hatarishi. Usingejiongeza na kubadili chumba ilikuwa imekula kwako.... Nina uhakika ungefumuliwa malinda usingeleta ushuhuda hapa. Badilika basi.
 
Nimecheka sana yaani we umenusurika wakati hata boksa hukuvuliwa hahahhhn
 
unajua kabisa mtu anakuframe bado unapata hisia nae!
watu ni majasiri!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…