Sitosahau mkasa huu

Hahaha mkuu hizo dawa zinaitwa pep mimi nimewahi tumia Mara mbili Ila Ile Mara ya pili chamoto nilikiona full kuota mandoto mixer mdomo unakua mchungu muda wote

Ngoja nitoe kisa kimoja

Kuna sehem nilipata Dem (alikua nesi) sasa mm na kujiaminisha kwangu nikamwambia yule mpenz wangu hatuwezi sex bila kupima (hapa nilikua najimwambafai tu coz nilikua najijua ni mzima).

Basi hyo siku tukakutana lodge na kwa bahat mbaya alikuja na kipimo kimoja tu so ikabidi anipime mm tu,, baada ya dakka chache kikawa kimesoma mstar mmoja, nilivoona majibu yangu mm nikawa nimetoka nje kwenda kutafuta chakula Sasa Ile narudi tu break ya kwanza nikaenda kukiangalia kipimo, lahaulaaa nikakuta mitari imejichora mitatu nilijitahd nikajikaza kiume bila kuonyesha mshangao wowote na nikakichukua kile kipimo na kukificha maana yule Dem hakukiangalia Tena yeye alikua anaandaa mazingira ya kula mti tu

Kutokana na mihemko nikawa nimejisahau kidogo na tukajikuta tushapeana vitu vya kutosha mpaka kila mmoja akawa ameridhika na muda wa kulala ukawadia mama yupo kifuani Mimi macho yanaangalia juu tu

Huwez amini nilishikwa na uchungu utafikiri yule Dem ni mwanangu au ni ndugu yangu wa damu

Nilijawa na mawazo Sana sikuwaza kwamba ikitokea nimeathirika niweze kumuambukiza mtu asiye na hatia Tena aliyeonesha upendo kwangu

Ile siku usingizi haukuja kabisa mwisho wasiku uvumilivu ulinishinda na nikamwamsha yule bidada na nikamweleza nilichokiona kwenye kipimo nilivokiangalia Mara ya pili

Kwakwel nilistaajabu moyo wa yule dada badala ya yeye kupanick akageuka kunituliza mm nisiwe na mashaka yeye mi mtu wa hospital anaelewa Kama ningekua nimeathirika kipimo kingeonesha mwanzoni kabisa

To cut the story hyo siku inayofuata nilikua na Safari Ila ikabid nighailishe na kunisubiria bidada aniletee vipimo vingine anipime na yeye apime ili nisafiri kwa amani

Majibu yalitoka Niko mzima na yeye pia ni mzima.
 
Mkishawavua nguo wadada mnaenda kusimuliana vilingeni🤔🤔 wavulana bwana.
 
Wewe nae bufulo tu,sasa hujamprove kwamba ni mwathirika how umasema umepona kimasihara?


Sd bioline ukipima majibu unatakiwa usome ndani ya dakika 20 tu nje ya hapo utapata wrong results


Ukiacha bioline muda huu baada hata ya saa 1 utakuta imechora mistari 2 au 3 hii ndio formula ndio maana unaambiwa pima na majibu yawe ndani ya muda wa dk 20 tu


Note: kuna carrier vipimo vya bioline husoma Negative while ukweli ni Postive


Hivyo pima mara ya 1 rudia miezi 3 ndio utafune nyama kwa nyama.
 
Asante nilikua sijaisoma hii,nisingepoteza kuandika maana na mimi nimejibu kama wewe.
 
Sema umepewa dawa nyingine sijui inaitwa pep sijui nini lkn sio ARV. Unatudanganga kasome upya kopo la dawa
 

Hizo dawa za ARV ni PEP, ukihisi au kunua umezini na mtu mwenye HIV, unatumia hizo kama kinga.
 
Sasa mkuu mwaka wa kwanza unaingia night shift ,unasomea afya sawa mi najua,chuo gani chifu labda tunaweza kufamiana mkuu.ila usichokijua hizi vipimo vinaonyesha majibu sahihi ndani ya dk 5 mpaka kumi baada ya hapo ukisoma tena majibu ni tofauti alafu ni wasi wasi wako tu.kama hamkupata michubuko huwezi kupata hiyo kitu
 
Hujamwelewa alipewa PEP kuzuia maambukizi ndani ya masaa 72
 
nishapiga mamba kama 2 baadae nikaskia ni motoo asee acheni tuuu.kumbe hofu inaua kuliko ugonjwa wenyewe!! nilikuja kupima baada y miaka 2 na nikaoa kabisa
wengine tulizikwa kabsaa maana unadandia visu vyenye moto mkali ila bana mpaka leo sina hata mafua.
 
Sema umepewa dawa nyingine sijui inaitwa pep sijui nini lkn sio ARV. Unatudanganga kasome upya kopo la dawa
ARV na PEP ni kitu kimoja tofauti ni matumizi tu Pep ni kitendo cha kuzuia maambukizi kirefu ni Post Exposure prophylaxis wakati ARV ndo dawa unazopewa-Antiretrovirals (ARVs) ,unapewa dawa zile zile zile ilazinaitwa pep coz inabd utumie baada ya kuhisi utapata maambukizi either ulijichoma na sindano au ulijimwagia damu watu wa afya wanajua na inatakiwa utumie ndani ya masaa24 ndo best ila usizidi ndani ya masaa72 unatumia siku28 yakizid masaa72 hujaanza huwa unamwachia mungu tu
 
Hii michezo uombe isikukute,
Kwa watu wanaofanya afya wanajua shughuli yake m nshatumia mara2 yan ile ushakula tunda alafu ndo unamwita mtu kupima anagoma ni msala Ila ngoja nisimulie kisa kimoja ujue ukimwi unaogopwa sana aise hata kama ulitumia kinga au ulipima Jana ukiitwa upime tena kimoyo lazima kistuke.
Kuna demu nlikuwa napiga kila nikimgusia tupime analeta sabab aha nkawanatumia ndomu siku moja nikapewa mcongo ndo ilikuwa Mara ya kwanza so Vumb+ndomu ikawa sio kitoto ila sababu nlikuwa kitengo cha HIV nikawa lazima nitumie ndomu sabab ya ule uoga ile siku tulibadili kama pakti 3 ndo kupata goli na show ilianza saa4 kama hiv mpaka saa6 hadi saa10 unatafuta goli moja toka ikipasuka unabadili ndomu ,kesho yake nikamwita demu job akasingizia anaumwa Mara nampigia ananiambia nimesafiri nipo Dom ,kwa vile nilitumia ndomu nikarelax miez ikapita nikipata show na demu mpya napima nipo fresh nakula tu matunda siku ya siku nkatumwa kituo kingine kikazi nikapanda na yule manzi kwenye hiace tunasalimiana hi nyingi m nipo na wenzangu wa kazin kumbe tunaelekea sehemu moja tukashuka tukatengana sijui ye alienda wap si tukaenda kupata breakfast kwanza ndo tukaingia kile kituo cha afya nimekaa tunaendelea na kazi ugenini kwenye ile office coz kazi ilikuwa kuhusu HIV Viral Loads bhana yule manzi huyo kaingia kufata dawa kwanza alistuka balaa kunikuta pale maana anajua kituo nnachofanyia kazi alitaman kugeuka jamaa wakituo kile hawajui kama namfahamu so wakawa wanaendelea normal kumuandikisha na makadi m jasho moyo ulipanda speed nikawaachia washkaj kazi nikatoka nje kwanza mwili uliishiwa nguvu baadae amesepa nikakimbilia kupima ghetto nipo fresh japo nimepima Mara nyingi katikat kabla ya hyo siku ila bado nlitetemeka kumbe bibie anachukulia dawa nje ya mji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…