Freelancer Wakala
JF-Expert Member
- Feb 6, 2016
- 1,193
- 828
Habarini wana-JF wenzangu!!!
Kwanza namshukueu Manani kabla ya yote.
Na bila kuchelewa Naenda Kwenye mada yangu.
Kuna binti nampenda sana yaani sana mpaka naumwa.
Na binti mwenywe mweupe,sura nzuri yaani penye watu 10 lazima watu Tisa wageuze shingo kumtazama.
Yaani missi zaidi ya Diana Lukumai wa Tanzania.
Huyu Binti nilianza kumtongoza tangu mwezi wa tatu hadi mwezi huu kumi na 2.
Ila hanielewi.
KUMBUKA:BINTI NI MUHITIMU KIDATO CHA NNE MWAKA HUU-2016
Ila wazazi wake ni Waathirika la Ugonjwa wa kunywa dawa kila siku na masharti ya ugonjwa lazima umeze kidonge kila siku.
Isipikuwa yeye na mdogo wake ni wazima lakini sina hakika.
Huyu binti akiwa na shida hunifuata na akiwa na rafiki yangu ambaye ananisaidia kumshawishi awe na Mimi huwa ananiambia "amekubali" ila nikiwa na yeye wala haoneshi ile hali ya kunipenda.
Sitaki niwachoshe kwa maelezo mengi mpaka basi kikubwa binti nampenda yeye hanipendi na nimeonesha kila dalili ya kumpenda hanielewi je nifanyeje.
Bora niwe pekee yangu.