#"SITOMUIBIA_MWALIMU_MILELE" ni
kauli iliyotolewa na kibaka baada ya
kuiba Pochi ya Mwalimu wa primary
na kukuta vitu vifuatavyo:-
1-Majina ya wapiga kelele darasan
2-Majina ya waliochelewa namba
shule
3-Majina ya waliokopa ubuyu na
bagia
4-majina ya wanaomdai
5-Kadi ya sherehe ya shule jiran
6-Peni nyekundu
7-Salary slip yennye mkopo
8-Risiti ya ATM inayoonyesha salio
Tsh 0.00
Mwizi huyo akaapa na kusema
#"SITOMUIBIA_TENA_MWALIMU"