Sitomsahau

Sitomsahau

Umeambiwa utageuzwa na wewe unajiachia kuzimia mbele ya geti la mhusika?
 
acha kukalili dada binadamu hatufanani....ndo maana kuna wezi,malaya,viongozi,walimu nk......hiyo ajali tu ilikupata...shida ni kwamba ulishindwa kukubaliana na hiyo hali...poleeeeeeeeeee

Ahsante ndugu ila xijapenda hadi leo
 
We me nipo hapa zanz airport anaitwa nani? Ni pm ntakupa aarifazake nipe jina tu niwape mrejesho wanajamvi isihekuwa nifix zako hapa.
 
Moyo wa mtu ni kiza kinene. Ni bora kumwambia mwenzio muachane, japo ataumia lakini ni bora maumivu kuliko maumivu na fedhea km aliyopata jamaa.
 
Chezea watoto wa mjini wewe mwenzio kapata Kanjibai we mweusi utaonwa baba
 
Hilijamaa tapeli nimeliambia linipe jina kahuyo ma laya kauchuna mpelekee shigongo upuuzuwako huko siokila mtu unamdanganya tu
 
Habar wana jf?, ni jambo la kumshukuru mungu kutufikisha siku ya leo, leo kuna mambo machache tu ambayo nataka ni wa storishe , unajua kuna mambo unaweza kufanyiwa katu usije kuyasahau

Ni miaka kadhaa imepita tangu siku ile niliyopigiwa simu na mwanaume kuniambia niachane kabisa na Mrembo wa moyo wangu mwanaume huyo alitumia namba ya mpenzi wangu , alinitukana sana , kejeri kibao , vitisho vingi visivyo kuiwa na tija.
Kiukweli sikuamini kabisa kile kilicho tendeka ujue nilimpenda sana yule mdada, alikuwa ni mzuri sijapata kuona, kuanzia umbo, sura , jinsi anavyoongea, kitandani ndo usiseme mtoto kajaaliwa , anakila namna ya kumteka mwanaume , yaani ilikua si shida kutoa vijilakilaki vyangu kwake, aaaaaaaah! Kwakweli alikua ameumbika , sijapata kuona mpaka sasa.

Mapenzi yetu yalikua poa sana kila mtu alikua anajifunza kupitia kwetu maana ule ulikua ni upendo wa dhati mbaka wazazi wetu walitupenda jinsi tulivyo kuwa tunaishi na tunavyo pendezana.

Vituko vikaanza pale tu alivyo pangiwa kazi mbali na mimi , yeye alipangiwa kwenye Uwanja wa ndege Zanzibar, mi nikiwa bado niko Mbeya , mwezi ya kwanza tulikua tunawasiliana vizuri tu, kwa mahaba, mpaka nikawa baada ya wiki mbili na choma mafuta hadi zanzibar tunafurahia penzi letu vizuri sana.
Ila sito sahau siku moja nimetoka Mbeya nataka kumfanyia mshituko niende zanzibar pasi kumwambia looh!

Nilichokipata , niko getini kwake nimebeba mazawadi kibao, si nikachukua simu ni mpigie simu ikaita weeeeee mpaka ikakata nikajipa moyo, nikapiga tena sikuamini nilicho kiskia , sauti nzuri ya mpenzi wangu ikiniambia ,Wewe Acha kunisumbua niko na mme wangu. Mh!! Nilijua utani nikamwambia acha hizo baby unajua utani mi staki nimekuja Zanzibar hapa nipo kwako hapa nje.

Kwa mara nyingine tena akaniambia toka staki kukuona , mh! Nikiangalia pembeni nina mamizigo kibao , na dreva tx yupo kanipa usaidizi , nikajipa moyo nikapiga tena simu sikuamini sauti niliyo isikia ilikuwa ni ya mwanaume mwenye rafudhi ya kiarabu , mwanaume huyo kumbe ananiona kupitia camera za mlangoni , basi akaanza kwa kusema ntakuitia polisi si muda hapo, toa uchafu wako hapo langoni kwangu, ntakufir****,ntakut'***,niliishiwa nguvu na kudondoka chini na kupoteza fahamu............sitosahau kitu kilicho nitokea ,sijui kupenda hadi leo pia sitakuja kumwamini mwanamke maishaaaa

Pole mkuu.....ila ujue unaempenda akupendi na anaekupenda wewe umpendi vilevile.....yawezekana ushawah mtenda mschana mwingine kwa kujivunia uyo aliyekutenda na ndio maana yamekukuta
 
usichukie wanawake wote, wengine hawapo hivyo na inategemea ulimzoesha mazingira gani kama ulikuwa unatoa toa vilaki basii aliona vidogo huko kabata vimilioni, kingine huwenda ulijisahau sanaaa.
 
Back
Top Bottom