Sitomsahau

Sitomsahau

mkabashingo

Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
48
Reaction score
5
Habar wana jf?, ni jambo la kumshukuru mungu kutufikisha siku ya leo, leo kuna mambo machache tu ambayo nataka ni wa storishe , unajua kuna mambo unaweza kufanyiwa katu usije kuyasahau

Ni miaka kadhaa imepita tangu siku ile niliyopigiwa simu na mwanaume kuniambia niachane kabisa na Mrembo wa moyo wangu mwanaume huyo alitumia namba ya mpenzi wangu , alinitukana sana , kejeri kibao , vitisho vingi visivyo kuiwa na tija.
Kiukweli sikuamini kabisa kile kilicho tendeka ujue nilimpenda sana yule mdada, alikuwa ni mzuri sijapata kuona, kuanzia umbo, sura , jinsi anavyoongea, kitandani ndo usiseme mtoto kajaaliwa , anakila namna ya kumteka mwanaume , yaani ilikua si shida kutoa vijilakilaki vyangu kwake, aaaaaaaah! Kwakweli alikua ameumbika , sijapata kuona mpaka sasa.

Mapenzi yetu yalikua poa sana kila mtu alikua anajifunza kupitia kwetu maana ule ulikua ni upendo wa dhati mbaka wazazi wetu walitupenda jinsi tulivyo kuwa tunaishi na tunavyo pendezana.

Vituko vikaanza pale tu alivyo pangiwa kazi mbali na mimi , yeye alipangiwa kwenye Uwanja wa ndege Zanzibar, mi nikiwa bado niko Mbeya , mwezi ya kwanza tulikua tunawasiliana vizuri tu, kwa mahaba, mpaka nikawa baada ya wiki mbili na choma mafuta hadi zanzibar tunafurahia penzi letu vizuri sana.
Ila sito sahau siku moja nimetoka Mbeya nataka kumfanyia mshituko niende zanzibar pasi kumwambia looh!

Nilichokipata , niko getini kwake nimebeba mazawadi kibao, si nikachukua simu ni mpigie simu ikaita weeeeee mpaka ikakata nikajipa moyo, nikapiga tena sikuamini nilicho kiskia , sauti nzuri ya mpenzi wangu ikiniambia ,Wewe Acha kunisumbua niko na mme wangu. Mh!! Nilijua utani nikamwambia acha hizo baby unajua utani mi staki nimekuja Zanzibar hapa nipo kwako hapa nje.

Kwa mara nyingine tena akaniambia toka staki kukuona , mh! Nikiangalia pembeni nina mamizigo kibao , na dreva tx yupo kanipa usaidizi , nikajipa moyo nikapiga tena simu sikuamini sauti niliyo isikia ilikuwa ni ya mwanaume mwenye rafudhi ya kiarabu , mwanaume huyo kumbe ananiona kupitia camera za mlangoni , basi akaanza kwa kusema ntakuitia polisi si muda hapo, toa uchafu wako hapo langoni kwangu, ntakufir****,ntakut'***,niliishiwa nguvu na kudondoka chini na kupoteza fahamu............sitosahau kitu kilicho nitokea ,sijui kupenda hadi leo pia sitakuja kumwamini mwanamke maishaaaa
 
pole sana kaka .utakuja pata anaye kujali
 
acha kukalili dada binadamu hatufanani....ndo maana kuna wezi,malaya,viongozi,walimu nk......hiyo ajali tu ilikupata...shida ni kwamba ulishindwa kukubaliana na hiyo hali...poleeeeeeeeeee
 
,..................sitosahau kitu kilicho nitokea ,sijui kupenda hadi leo pia sitakuja kumwamini mwanamke maishaaaa
Jamani hashiki

Started by mkabashingo, 12th August 2014 21:17
Habar wana JF,

Simuliwa omba yasikukute, nina mpenzi wangu ambaye natarajia kufunga ndoa mwaka kesho kutwa, ila kuna tatizo ambalo linanisumbua sana, hashiki mimba huu ni mwaka wa tatu sasa najaribu lakini wapi,

Naombeni msaada nifanyaje mie.

Na ninampenda sana, pia napenda kuwa na mtoto
Ushauri tafadhali.
 
acha kukalili dada binadamu hatufanani....ndo maana kuna wezi,malaya,viongozi,walimu nk......hiyo ajali tu ilikupata...shida ni kwamba ulishindwa kukubaliana na hiyo hali...poleeeeeeeeeee
Umenena yaliyo sahihi, maana hata sisi wanaume wapo wadada wanatulaani sana, lakini kwa kosa alilotendewa na mwanaume mmoja tu
 
Ni shiiiiiiiiidaaa.

Pole sana mpendwa,huyo hakuwa wako,subiri wako anakuja. Serebuka serubuka unaweza penda tena........
 
Usichukie wanawake wote binadamu tunatofautiana,pia mshukuru mungu likuepukalo lina kheri......mtu akikufanyia ubaya muache km alivyo ila usimsahau
 
upewe haja ya moyo wako ... usipende tena kabisa mkuu tumia tu
 
Back
Top Bottom