Sitokwenda tena kanisani mpaka nisikie viongozi wa kanisa wanaweka sheria kali kwa uvaaji wa mavazi ya hovyo kwa wanawake ndani ya kanisa

Wachungaji/mapadre wanaogopa wakiwakemea watapoteza waumini,hadi suruali wanawake wanavaa na wanaenda madhabahuni!!viongozi wa dini hawana wito ni wasaka tonge tu na ndio maana hutokaa uone wakikemea mavazi church!!
 
Ni suala la utamaduni tu.Wenzetu wazungu ambao ndiyo walituletea hizo dini hawaangalii hayo.Baadhi wanavaa kama wanaoenda disko.
Hata biblia haisemi juu ya aina ya mavazi ya kuvaa na wala si moja ya amri kumi za Mungu.
 
ewe falisayo Mungu anatizama roho. Mavazi mnatizama ninyi wenye imani isiyo lingana hata na punje ya haradali

NB. MUNGU HAKUMWUMBA MWANADAMU NA NGUO. KAMA UNAVYO MWONA PUNDA KITU KIKO NJE NJE NDIVYO ILIVYOKUWA.
Soma andiko hilo, nmathayo 5:28 Kila amtazamaye mwanamke kwa kumtamani amekwisha zini Naye moyoni mwake. Jiulize kama uvaaji huu ukaruhusiwa makanisani, ni wanaume wangapi wanaoweza jujizuia ili wasizini mioyoni wao??
 
ewe falisayo Mungu anatizama roho. Mavazi mnatizama ninyi wenye imani isiyo lingana hata na punje ya haradali

NB. MUNGU HAKUMWUMBA MWANADAMU NA NGUO. KAMA UNAVYO MWONA PUNDA KITU KIKO NJE NJE NDIVYO ILIVYOKUWA.
Akili huna
 

Du kama vile ulivyo, mtalimboo ukkuzia pepo ukate!
 
Soma andiko hilo, nmathayo 5:28 Kila amtazamaye mwanamke kwa kumtamani amekwisha zini Naye moyoni mwake. Jiulize kama uvaaji huu ukaruhusiwa makanisani, ni wanaume wangapi wanaoweza jujizuia ili wasizini mioyoni wao??
Anzia hapo kwa kumtamani. mbona hutamani dada zako? Unaweza kumtazama na usimtamani
 
Unakuta mwanamke amevaa kigauni hata akivua ukakiweka kwenye glasi hakijai, ukiuliza unaambiwa Mungu haangalii mavazi anaangalia roho.
Huu msemo imeangusha wachungaji,wanakwaya ,na viongozi wengi kanisani katika aibu ya ngono.


MUNGU ANAANGALIA ROHO,ILA SISI TUNAONA MWILI.hatuoni roho
Sasa chui makahaba hawa wanatafuta wateja kanisani kbs
 
Wengi wanahitaji kutongozwa wanaovaa nguo za ivyo na ATTENTION pia kwaiyo ungesema ata na mmoja wao mkuu baada ya misa kuisha ,makanisa mengi ya siku hizi wanavaa ivyo
 
Kwani Mkuu umesahau pazia la hekalu lilipasuka siku ya Ijumaa kuu kadiri ya maandiko?

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Wee muislamu ulienda kufanya nini kanisani? Sisi wakristo tunaabudu kiroho zaidi! Hatuko mwilini! Hila kutovaa mavazi ya staha kwa mwanakwaya halikubaliki! Kwa mtu anayekuja kuabudu inaweza isiwe shida kwasababu Yesu (Mungu) alikuja kutafuta wenye dhambi na alitupenda hadi akatufia msalabani tukiwa bado wenye dhambi! Kwahiyo kama wewe ni kahaba na ukaja kanisani na mavazi ya kikahaba hatukufukuzi! Kazi ya wazee wa kanisa ni pamoja na kuwasitili watu kama hao na kuwaruhusu ndani! Hata kama ni mlevi ukaja unaweweseka kanisani wazee wa kanisa watakuongoza na kukuweka kwenye siti (ili mradi usiwe kero kwa wengine). NALIA NGWENA
 
KAMA HAIKUBALIKI KUVAA MAVAZI YA AJABU BASI NI MUDA WA KUPAZA SAUTI MAVAZI YA AJABU SASA YAMEINGIA KANISANI.

TRANSPARENT MZEE UNAONA MPAKA RANGI YA CHUPI/TAIT.
 
I second this statement.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…