Sitokuja kuomba kazi tena UTUMISHI

Sitokuja kuomba kazi tena UTUMISHI

Mkuu wewe ni muongo wa kiwango Cha PhD sisi tumeajiriwa miaka zaidi ya 6 iliyopita lakini uhuni wanaofanya pale utumishi one day nitaueleza humu...

Taasisi nyeti zote hupenyi kapuku, Hawa watoto wa wakulima wanaishia taasisi zinazolipa 260k, 300k, 440k, 560k, 640k, 760k, 850k na 900k kwa mshahara na hazina allowance zozote zingine...angalia taasisi Kama TPA na TAA, KADCO na TBS fuatilia saili zao lazma zivutwe majibu yacheleweshwe mno kutoka.

BOT,TPDC, WCF,NSSF,PSSSF, EWURA , Ngorongoro na TANAPA haya ni mashirika yanayolipa vizuri zaidi ajira zao hazipitii psrs viongozi wameweka upenyo wa kuweka watoto na ndgu zao huko....

Kama hujui ni Bora ukanyamaza.....
Nilifanya interview ngorongoro hii ya juzi, nafasi ilikua moja nikajipinda mwanaume written nikawa wa 7 wao wamechukua top 3 nikawaza si wangechukua angalau top 10 twende kwenye oral tukaminyane uko, yote heri lakini nauli yangu iliniuma bora ningenywea balimi
 
vijana mnatumia mda mwingi kufuatilia mambo yasiyo na umuhim kwenu

Hata mambo madogo madogo hamuwezi kujibu mmekariri madesa tu, utaendelea kulalamika ila wenzako wanapata kupitia huko utumishi
 
Mkuu usifanye Generalization itakuwa unakosea mbona wengine wanapitaga kiulaini tu
 
Mleta mada una lengo LA kuchafua UTUMISHI ila nikwambie pasipo utumishi vijana wengi ninao wafaham wasingepata kazi tena taasisi hizo mnazoziita nyeti
 
Mleta mada Yuko sahihi, utumishi Kuna ujinga mwingi halafu taasisi gani nyeti au inayolipa vizuri mchakato wake wa ajira unapitia utumishi? Kama Sio uongo?

Utakuwa nowdays ni TPA,TAA,KADCO na TBS na saili zake zinakuwa na maluelue mengi mno
 
Mfumo huu unavyoendeshwa hata katika usaili ni tofauti hauna ubaguzi wowote mchujo unakuwa unatenda haki kwanza mnapofanya mitihan hamuandiki majina kwaiyo hapa ile dhana mtoto huyu ni wakigogo tumchague inakuwa hamna

Kiukweli unaoupinga mfumo huu sio mtu mzuri anataka watu wapewe ajira kwa kuangaliana usoni na umetokea wapi?

Hili haliwezekani na halikubaliki
 
Mkuu wewe ni muongo wa kiwango Cha PhD sisi tumeajiriwa miaka zaidi ya 6 iliyopita hapo utumishi lakini uhuni wanaofanya pale utumishi one day nitaueleza humu...

Taasisi nyeti zote hupenyi kapuku, Hawa watoto wa wakulima wanaishia taasisi zinazolipa 260k, 300k, 440k, 560k, 640k, 760k, 850k na 900k kwa mshahara na hazina allowance zozote zingine...angalia taasisi Kama TPA na TAA, KADCO na TBS fuatilia saili zao lazma zivutwe majibu yacheleweshwe mno kutoka.

BOT,TPDC, WCF,NSSF,PSSSF, EWURA , Ngorongoro na TANAPA haya ni mashirika yanayolipa vizuri zaidi ajira zao hazipitii psrs viongozi wameweka upenyo wa kuweka watoto na ndgu zao huko....

Kama hujui ni Bora ukanyamaza.....
Duh!
 
Kwanz ww shukuru Mungu umeshapata kazi nafasi hizo waachie wadogo zako ambao ni Jobless
 
Vumilia mkuu na usikate tamaa utapata tu!
 
Hebu weka hayo maswali na majibu uliyotoa..tuanzie hpo kwanza
 
kwenye usaili....kuna vitu vingi sana wanazingatia...kuandika, kuongea, muonekano na muhemuko wa hasila...bado ulikuwa kwenye mchujo umeleta mihemuko umu....hutoipata hiyo kazi wala atukukuita...na tusikuone tena...
Kijana analeta hasira kwenye ajira
 
Kiongoz kwanza nikupe ongera kwakuepo na ajira private Org. Ww ni manyota big up mkuu. Cha mcngi kuaga mkax bana milija yote ya matumizi yasio ya lazma. Plan kwamba baada ya mkataba huu kuisha na yenyewe unapiga chini na kujiajiri km ww.
By experience nilianza na private km mwaka kapiga chini kisa awakutaka kuniamishia seem ambayo nmeamini ningepiga ela. Nikaingia govt after a year karud shule ku update, apo nmeshaweka ki project kinatambaa tambaa. Nmeludi kitaa lkatokea shav nmepiga cha usaili nikaibuka 1/8 Ila nmekujakuskia tu kachkuliwa mzululaji ata interview wl akuwai omba.
Kale kaproject kanaelekea 35M naishi kwangu mwenyewe Ila natembea na mguu cna ata baskeli. Nikishika private Org nashusha ndinga mazee km nitakosa la plate No za ofis. Napenda zaid usafir Wa ofis thn private.

Pambana sn kiongoz Neva givUp
 
Nilifanya interview ngorongoro hii ya juzi, nafasi ilikua moja nikajipinda mwanaume written nikawa wa 7 wao wamechukua top 3 nikawaza si wangechukua angalau top 10 twende kwenye oral tukaminyane uko, yote heri lakini nauli yangu iliniuma bora ningenywea balimi
Inauma sana..
 
Mleta mada Yuko sahihi, utumishi Kuna ujinga mwingi halafu taasisi gani nyeti au inayolipa vizuri mchakato wake wa ajira unapitia utumishi? Kama Sio uongo?

Utakuwa nowdays ni TPA,TAA,KADCO na TBS na saili zake zinakuwa na maluelue mengi mno
Mkuu hao TAA wanalipa hovyo sana ni kama halmashauri tu nilikuwepo huko nikakimbia
 
Sikumbuki Mara ya mwisho kuangalia tangazo la kazi, sekta binafsi Wala serikalini.nachojua na kufahamu ni biashara ya nyanya kutoka laki 4 mpaka mil 7. Mzee wangu akaniuliza utapambana na nyanya mpaka lini, nikamjibu sijui baba.
Hongera sana
 
Back
Top Bottom