Sitoki tena out na wewe

Sitoki tena out na wewe

Quinton Canosa

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2012
Posts
1,224
Reaction score
1,258
Aisee kutoka out na baadhi ya wanawake ni kazi sana, yamenikuta mimi na hata baadhi ya marafiki zangu ambao wametoka na magirlfriend zao yaani una kuta demu yuko bize na simu muda wote yaani concentration kwako inakuwa ndogo na hizi hizi touch screen zimekuja yaani kila muda yuko bize.

Ukimuuliza mbona hujaconcentrate anasema najibu sijui meseji za marafiki zangu wa whatsup,cjiu fACEBOOK mara instragram cju na nyie yamewakuta yaani binti bize na simu ukiwa na roho nyepesi unaweza kumuacha.

Jamani kinadada punguzeni kidogo basi simu hamjazaliwa nazo hizo.
 
Ndio shida ya kuokota mademu barabaran wakat hata humjui anakoishi.
 
hapo unakuwa wewe umembaka kimapenzi... that means akupendi ndio maana anakuwa bussy na simu
 
Kuna memba mmoja mwenye ID ya kike na yeye kaanzisha thread yenye maadhui kama haya haya isije kuwa uliopoa hapa hapa JF
 
hapana jamni kwani nyinyi hamjawahi kuwaona wasichana wenye tabia ya kupenda kuchati kila muda akishika simu tu ni utata
 
kweli aisee inaboa mno.. yani unaongea na mtu yupo buzy tu na simu kwamba unachoongea hakina maana.. bora umshikie kwanza ukimaliza kuongea nae unamrudishia
 
Nikiona unaongea uupuuzi me bize na cm yangu mbona utanikoma
 
Back
Top Bottom