Kiufupi jamaa alienda kazini uchi ama mtupu, watu wapwani tuna desturi ya kurudi kwa wazee kunywa kahawa baada ya kupata ajira au mchongo wa pesa ndefu, unless utafia juu ya kiti cha office!!!
Sio 'bwana', ni 'Bwana/BWANA'. Ukiandika bwana hiyo inayoanza kwa herufi ndogo utakuwa ukimaanisha bwana shamba au bwana jela. Kama unamaanisha Bwama wa mabwana lazima uanze kuandika kwa herufi kubwa.