pet geo pet
JF-Expert Member
- Jun 30, 2018
- 518
- 815
Sumbawanga na Kigoma zipo pwani?Wakuu habari!
Niende moja kwa moja mwenye mada..
Ilikuwa mwaka 2019 kuna rafiki yangu alipata kazi Zanzibar maneo ya unguja kaskazin katika NGO moja kule...
Nyumbani 😁Niwasihi hasa watu waliopo ukanda wa pwani kuwa makini sana na watu wa uko hasa Watanga na wazenji
... shida Zanzibar hiyo kitu unaipatia wapi.Wanasema ukila sana KITI MOTO eti hayakupati hayo madudu, sijui kama ni kweli au porojo za vijiweni!!
ongeza na mbeyaSumbawanga na Kigoma zipo pwani?
Gamboshi?
Haya kote yapo...hata humu kuna nyuzi zinaeleza hayo hayo tena huko huko mrima!
Pole kwake ..kwa kufikwa..wenzie huwa wanaaga kwao kwanza..
mshana ebu mtesti huyu bufa alafu alete mrejesho kama hivi vitu havipo tena ungempiga jinsia mbili mbili tu [emoji16]
Welezo na kwa b, Janet IPO muda wote... shida Zanzibar hiyo kitu unaipatia wapi.