pet geo pet
JF-Expert Member
- Jun 30, 2018
- 516
- 815
Wakuu habari!
Niende moja kwa moja mwenye mada.
Ilikuwa mwaka 2019 kuna rafiki yangu alipata kazi Zanzibar maneo ya unguja kaskazin katika NGO moja kule.
Alifanya kazi kwa bidii kwani ili mwaka ujao 2020 aweze kuongezewa mshahara, kumbe katika kufanya kazi kwake wale wenye taasisi waliona yule kijana anafaa kuwa kiogozi pale.
Alikuwepo boss ambaye alikuwa na asili ya Mpemba na Mtanga...basi jamaa aliaza mtafutia visa vya hovyo tu ili pale kazini atoke kwani ameshaanza kuonekana yeye ni bora kuliko waliopo ingawa yeye akuwa na lengo la cheo Bali alifanya kazi kwa bidii ili aongezewe mshahara tu wala sio cheo ila la cheo waliona viongozi kuwa dogo anafaa.
Cha ajabu ikifika Usiku jamaa anaamuka mida hata ya saa 8 anajikuta amechoka hatari. Basi ilikuwa mwisho mwa mwaka 2019 mwezi wa 11 alitumiwa majini ya kumfukuzisha kazi ..alianza kuandika vitu vya ovyo kwenye simu pia kazini alitoka kwa kutupiwa hayo majini.
Aliona sio kesi akaachia kazi akaondoka zake kwenda kwao bara.. Cha ajabu kumbe Yale majini yashatumwa kwake yalienda naye mpaka kwao yakaanza kumtesa hatari.
Kwa kweli Wazanzibar wana roho mbaya sana hawapendi kuona mubara amewazidi. Sitokuja kusahau Wazazibar na Watanga kwa uchawi wa majini na wivu usiokuwa na maana. Mungu atawalipa tu kwa kitendo walichomfanyia huyu dogo..amepata makovu ya mwili yasio na maana kwa watu kwenye wivu tu kazini bila hata kosa.
Niwasihi hasa watu waliopo ukanda wa pwani kuwa makini sana na watu wa uko hasa watanga na wazenji.