Sitogombea ubunge wala sinahamu nao

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
9,259
Reaction score
14,161
Naona bora niitafute akhera yangu badala ya kuitafuta dunia zaidi.
Nikiwa mbunge nitakosa muda wa kumtumikia muumba wangu badala yake nitamikia chama changu.
Mtume (s.a.w) amesema:



"Dunia ni gereza kwa Muumini na pepo kwa kafiri."
(Sahih Muslim)

2. Akasema tena:

"Kuishi kwangu katika dunia ni kama msafiri aliyepumzika chini ya mti kisha akaondoka na kumuacha."
(Tirmidhi, Ahmad)

3. Abdullah ibn Umar (r.a) amesema:

Mtume (s.a.w) alinichukua mabegani na kusema: "Ishi katika dunia kama mgeni au mpitaji."
(Sahih Bukhari)
 
Wazee wa kulia Lia attention seeker
Ni kawaida yenu enyi wavaa ..........
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…