UWOGA=UMASKINI
JF-Expert Member
- Dec 30, 2013
- 2,400
- 1,017
Tuanze na Wewe, hua ukichepuka unatafuta nini?? I mean kabla hujaamua kuacha kama ulivyodai!!Nimekaa na kufikiri mke ninaye mzuri tu anajitumabkila idara ila tu sijui kwanini nachepuka na kote nilikochepuka sijaona utamu zaidi yabule niupatao ssa labda nyie wachepukaji wenzangu huwa mnafuata nini kwa michepuko
Baki njia kuu mchepuko sio diliHapa nimekaa najiuliza maswali mpaka bichwa linauma coz ndo nimetoka kuchepuka
Acha masharakazi kwelikweli
Mimi mwenyewe natamani sana hivyo mfano sasa hivi ndo nimetoka na sijaonabnilichofuata hukoAcha
Angalia tu linafaa kuwa niniMkuu bandiko lako ni statement au predigate
Posts zako bana; najuta kuoa, onhoo mke wa mtu kaniomba nikutane, ohoo mke wa ukubwani na wa utotoni yupi bora....etc!Nimeoa nina watoto watatu na mke wangu kwa kweli ni mzuri na anajitahidi sna kunihudumia kila kitu ila nachepuka mpaka naona aibu ya nafsi na hata nikiulizwa kwanini nachepuka SIJUI kabisa
. Sasa nataka nipunguze kidogo au niache kabisav