Sithaminiwi....

Ndugu yangu,yawezekana,lakini nina dvn 3 ya 25,na ilivyokuwa nilipata nafasi ya kwenda jesh na nyingine kwenda ualimu wakanikataza na wakadai niwaskilze je ni kwel m ninakosa?

tabia vp? Certification inaweza ikawa sio prob and it cant make you perfect before people,ninamwanangu na mimi anasifa hizo hizo...hapendi kujituma kazi nyumbani,tabia mbovu,uvaaji nguo poor,hapendi studiez awapo shule....ili kupunguza huu mzigo na stress hapa kwangu nataka nimpeleke veta asije niharibia wadogo zake make analeta ma cd ya kuangalia daily
 
Inawezekana kuna mahali umeharibu kwa kujua au kwa kutokujua kwahiyo ni bora uwatafute uongee nao then utajua kwanini wamekutenga kwa mujibu wa maelezo yako
 

Pole ndugu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…