Sithaminiwi....

Acha kedeka deka mimi mwenyewe mzazi wangu kabisaaa hela ya boom alikuwa anadai nimnunuli wax, na ameajiriwa plus ana biashara zake na nilikuwa namnunulia wax, na chakula nyumbani napeleka ila sikulalama nikajua ndo ukubwa huo!!!!!!!!!!!

Shukuru kwa hiko chuo na usome kwa bidiii sana! Undugu ni kufanana siku hizi wala si kusaidiana! Mara ya mwisho senti tano ya my bro sikumbuki niliiona lini? Isingekuwa usmart wangu wa kumuibia dukani na kwenye busness zake ningeshapauka!!!!!!!!!

We komaa hivo hivo utatoka! Mimi wanaume zangu wananijali kuliko my blood brother!!!!!!! Hapa napoandika machozi yananitoka!!!!! Mtu si ndugu yako ila anakujali acheni tu, ila nakaza tu naamini iko siku!

Saa hivi nina kazi nikaanza kuendekeza ndugu nimeona niakufa maskin manake mi nateseka, nakomaa wenyewe wamejibweteka wanaitisha tu hela kama zinaota mitini! Heri tu wanione mbaya!

Ushauri wangu komaa tu utatoka!
 

Ha ha ha, Lara 1 kizuri kula na ndugu yo,,

Nina madogo kama wa 5 wa ndugu zangu hivi wamekuja home kwa bi mkubwa for holiday,,

Nimeenda home juzi wacha washangilie kila mmoja ananipa list yake ya anachotaka for holiday kupiga hesabu jumla kama lak 6 hivi, nikawaambia nitarudi.. Mzee huyo getoo, hapa ndo napiga siasa niwatoeje, maana B mkubwa atachonga mbaya nisipowatoa hawa madogo na mama zao wote wanajua nafanya kazi firm na wakiona nimesafiri wanafikiri kuna ma per diem kama ya katibu mkuu serikalini kumbe ndo kwanza hela mbuzi... Nilipochoka kuna mmoja anataka Tablet ya kusomea na ndo kwanza yupo form 4
 
sijui kwa nini ilifutwa ukimaliza masomo ni kwenda JKT? watoto tatizo kidogo ooh mimi hawanijali wasinge kujali wangekupeleka chuoni acha maneno 2. Soma ili ujipange na maisha yako.
 
Nashukuruni wadau kwa mawazo mazuri,Ninachoweza kusema sina makosa nao labda kama ninalo hawakuniambia, maana mm ni mdogo wao wakike wa mwisho na nilikuwa naishi na wazazi wetu walioko Mwanza ambao na wao kwa sasa hawana uwezo wazee sana, nilipomaliza o level dada aliniita nikakae kwake,sema ni vgumu kuthibitisha lakin hamwez kuamin niliishi nao vzur mpaka naondoka na mm ckujua kama kunakitu kimejficha.kiasi kwamba ningejua nisingebadili uamz kama walvyonitaka. KINACHONIUMA mpaka sasa sijui cha kufanya mpaka sasa natunzwa na mtu ninayesali naye2. Na najua wazaz wangu hawajui. USHAURI WENU NITAUFANYIA KAZ SANA.
 

nashukuru,tatizo ada ni million 1na laki mbili na wamenilipia laki 4tu. Na sasa tuko likizo hawanitumii hata nauli ya kurudi nyumbani na mm sina hata robo nasaidiwa. Nataman ningekuwa nyumban haya nisinge yajali niko ugenn na cna ndugu leo wik inaisha bado wk 3 chuo kfunguliwe tena....anyway
 

nashukuru mwl. Nitajtaid japo lalamko langu llkuwa wamentelekeza ugnn tuko likzo mwl na ni shule ya bwen sina nauli ktoka iringa had mwanza ada yenyewe mil.1 na lak2. Mbaya zaid mi mtoto wa kke hata kuwafkia huku nasaidiwa na mme wa mama1 ninayesali naye2 wazaz wangu najua hawajui swez hata kwapata maana hawana cm mwl..ninapotafta vbarua ninayokutana nayo niaibu hata kuyase,nakama niendelee kusoma nasomaje Shule ni ya Mzungu anamatatzo yeyote anaye ifaham atakuambia mwal..inaitwa ST.MARIAGORET iko iringa
 
Kumbuka hizo ni changamoto za kawaida kwenye maisha yakupasa kupambana mpaka ushinde. Maana hiyo nafasi uliyoipata itumie vizuri kufikia malengo yako na kama ada wanalipa kunyamaza kwao isiwe tatizo we piga shule dogo.
 
kazana, piga shule, boresha maisha yako wewe mwenyewe usitake watu wakuthamini, utakuja kuthaminiwa ukiwa na kitu cha thamani, kuzuri chajiuza kibaya chajitembeza, jitahidi shule upate kizuri uwe mzuri ili uthaminiwe. wala usiumize moyo, watakuja kukutafuta wenyewe utakapoongezeka thamani.
 
so hiki ni chuo ama shule??
mwandiko wako unanipa hofu kwamba kuna mahali umeongopa unless nimezeeka.
 
walinitafutia chuo cha MIFUGO NA KILIMO Iringa,nilipata nafasi hiyo na wakanipeleka.


haya unamaanisha nini kwa kauli hizi?
 


Wachaaaaaa weeeeee!!!!
 
Hayatuhusu. Peleka umbeya wako kwa ndugu zako. Toa mada zenye kueleweka. Sasa ndio umeandika nini hapo juu? umenikera sana.

mod muaangalie huyu mtu atatuchafulia hali ya hewa sasa hivi,
 
Hayatuhusu. Peleka umbeya wako kwa ndugu zako. Toa mada zenye kueleweka. Sasa ndio umeandika nini hapo juu? umenikera sana.

mod muaangalie huyu mtu atatuchafulia hali ya hewa sasa hivi,
 
Hayatuhusu. Peleka umbeya wako kwa ndugu zako. Toa mada zenye kueleweka. Sasa ndio umeandika nini hapo juu? umenikera sana.
Mwanamalundi we wangu ujue!sasa mbona hivi mzee? nini tatizo?
this is very serious unajua!
 
Last edited by a moderator:

simple,
waambie huna hela ya anasa.....wasome wajitegemee watengeneze hela ndo waifanyie starehe
 
Hayatuhusu. Peleka umbeya wako kwa ndugu zako. Toa mada zenye kueleweka. Sasa ndio umeandika nini hapo juu? umenikera sana.

Nahisi umelaaniwa si bure, majibu yako kama ya kuzimu. Sikujui lakini unaboa no wonder kuna mtu alikuanzishia thread.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…