ishu sio website ya kitanzania...kama ni torrents kumbuka zile zinatengenezwa na mtumiaji wa torrent kama wewe...so mfano una muvi yakitanzania unai convert kuwa torrents then unaupload kwenye site yoyote unayobeba torrents..tatizo ni kuwa site za mambo ya downloads za ki TZ bado hazina soko na ndo maana hata site nyiingi zinazojidai unaweza kudownload music au movie za kibongo ukienda utakuta vitu vya zamaaani ...tena vichhaaache ...hawa update yaani basi tu!!