Site gani naweza nunua Key codes za games?

Jongwe

JF-Expert Member
Apr 25, 2008
1,039
659
Watalaam hivi ni site gani naweza nunua Key codes online za games? je wanaweza kutumiwa hizo codes kwa email baada ya kulipia? Nahitaji games za Xbox one.
 
Ukitaka game za xbox 360 na pad nitafute ntakuuzia elfu 30 vyote kwa pamoja .maisha magumu
 
Kwenye store ya microsoft? Xbox si inakuja na store?

Ila kama unataka used ama za magumashi angalia ebay
 
Thanks Chief, nilijaribu kununua kupitia Xbox store lakini kila nilipojaribu kuweka Zip code au coutry code nadhani ikagoma kabisa. Nikakwamia hapo
 
tumia tu email ya hotmail ama live kulogin kwenye huduma zote za microsoft.
 
Back
Top Bottom