Ushahidi kwamba Maxmalipo wamekutajia ref.no ni upi ndugu? wakikubana hapo hutoki.HUU NI UTAPELI WA HALI YA JUU KWA MAXMALIPO Mimi ni wakala wa MAXMALIPO sasa leo kuna mteja amekuja kwangu akihitaji kulipia gari yake ambayo alikimatwa maeneo ya chuo na akiwa ameandikiwa faini ya elfu 30.
Sasa mimi kama wakala nikachukua risiti na kuingalia nikagundua haina reference number ikabidi niwapigie simu maxcom 0764 700200 kuomba reference number wakaniuliza namba ya gari nikawatajia halafu wakanitajia reference number nikaandika nikafanya malipo sasa baada ya mteja kuondoka imepita nusu saa mteja akarudi kudai kuwa gari yake inadaiwa na amepiga simu maxcom wanasema gari bado inadaiwa ikabidi apige simu namimi nikiwepo nilipo ongea nao wakasema gari haijalipiwa nikawambia mbona ninyi ndio mlinipa reference namba iweje mnipe siyo sahihi? Cha ajabu wamenitajia gari nyingine namba tofauti na wakasema wewe ulikosea,nikawauliza tunamsaidiaje mteja? Wakasema huo muamala uliofanya haurudishwi kamwe kwa hiyo wewe toa hela yako umlipe mteja. Yaani ile hela elfu 30 iliyokatwa kwenye mashine ya maxmalipo imechukuliwa hairudi halafu nitoe hela yangu mfukoni nimlipe mteja! Huu si utapeli, hela imekatwa imeenda maxcom au maxmalipo na kule imeenda traffic case halafu hiyo hela haiwezi kurudi so wewe wakala kama umekosea ni juu yako sisi haituhusu ingia gharama umlipe mteja wako.
Sitalifumbia macho hili mteja simlipi na siko tayari kulipa pesa marambili tutaenda polisi mahakamani kwa wanasheria kwa mkuu wa wilaya ya ubungo na ikishindikana ikibidi hata kwa mkuu wa mkoa Paul Makonda hamuwezi kudhurumu haki za watu mchana kweupe hata vyombo vya habari nitakwenda yaani muamala umekosewa tena si mimi maxcom ndio walionitajia reference namba siyo halafu mseme hela ikikosewa hairudishwi niingie gharama zangu binafsi nimlipe mteja!! Kamisheni yenyewe mmenipa kiduchu bado hela ambayo imelipwa kimakosa mnasema hela hairudi aisee hii haikubaliki.
NitawapandishaWacha kulia simu zote ni rekodwdi, kama ulipiga na wakakujibu/kukutumia namba za malipo ni jukumu lao. Wewe huhusiki na lolote. wapandishe kwa pilato usijali muda utaopoteza kuna gharama na wewe utaweka zakwako.
Hii ni kwa wenye uthubutu, kama huna potezea.
Ndugu si amewapigia simu kwa mtandao usika!?kwani mtandao usika wakiambiwa watoe mazungumzo yao ya siku usika,itakuwa tofauti.Ushahidi kwamba Maxmalipo wamekutajia ref.no ni upi ndugu? wakikubana hapo hutoki.
HUU NI UTAPELI WA HALI YA JUU KWA MAXMALIPO Mimi ni wakala wa MAXMALIPO sasa leo kuna mteja amekuja kwangu akihitaji kulipia gari yake ambayo alikimatwa maeneo ya chuo na akiwa ameandikiwa faini ya elfu 30.
Sasa mimi kama wakala nikachukua risiti na kuingalia nikagundua haina reference number ikabidi niwapigie simu maxcom 0764 700200 kuomba reference number wakaniuliza namba ya gari nikawatajia halafu wakanitajia reference number nikaandika nikafanya malipo sasa baada ya mteja kuondoka imepita nusu saa mteja akarudi kudai kuwa gari yake inadaiwa na amepiga simu maxcom wanasema gari bado inadaiwa ikabidi apige simu namimi nikiwepo nilipo ongea nao wakasema gari haijalipiwa nikawambia mbona ninyi ndio mlinipa reference namba iweje mnipe siyo sahihi? Cha ajabu wamenitajia gari nyingine namba tofauti na wakasema wewe ulikosea,nikawauliza tunamsaidiaje mteja? Wakasema huo muamala uliofanya haurudishwi kamwe kwa hiyo wewe toa hela yako umlipe mteja. Yaani ile hela elfu 30 iliyokatwa kwenye mashine ya maxmalipo imechukuliwa hairudi halafu nitoe hela yangu mfukoni nimlipe mteja! Huu si utapeli, hela imekatwa imeenda maxcom au maxmalipo na kule imeenda traffic case halafu hiyo hela haiwezi kurudi so wewe wakala kama umekosea ni juu yako sisi haituhusu ingia gharama umlipe mteja wako.
Sitalifumbia macho hili mteja simlipi na siko tayari kulipa pesa marambili tutaenda polisi mahakamani kwa wanasheria kwa mkuu wa wilaya ya ubungo na ikishindikana ikibidi hata kwa mkuu wa mkoa Paul Makonda hamuwezi kudhurumu haki za watu mchana kweupe hata vyombo vya habari nitakwenda yaani muamala umekosewa tena si mimi maxcom ndio walionitajia reference namba siyo halafu mseme hela ikikosewa hairudishwi niingie gharama zangu binafsi nimlipe mteja!! Kamisheni yenyewe mmenipa kiduchu bado hela ambayo imelipwa kimakosa mnasema hela hairudi aisee hii haikubaliki.
Ndg yangu mbona unawaza kama enzi za mawasiliano ya simu za "kukoroga"?Vip uliyarekodi mazungumzo yenu kwa simu yako awali ukiomba reference namba!? Kama hukufanya hivyo basi penati kwako. Ni mtizamo tu, jaribu kutafta ushahidi wa kutosha kukutea na hao maxmalipo.
Ndugu badili mtaji, maxcom waache.
Mi niliwastaki banki na wakanilipa kabla hata ya hukumu. Waliomba mambo yaishe ila inahitaji roho ya kipare mkuu. ya kuuza ng'ombe kwa kesi ya kuku, ukishinda unanunua mbogo.Nitawapandisha