Mnajidai hamtaki wakati akipita aliyevaa fekifeki mnamtolea mijicho
Tunatoa macho lakini hatupendi....
anadhani mtu ukiangalia ndo unapenda, wakati unaweza ukawa unashangaa au kusikitika, sawa na kumwangalia mtu aliyejeruhiwa.
Usipofanya hivo mshamba ukifanya utaitwa fekelo hamna jema nyie!!!!!!!! nafanya ninalojisikia
Ndo hapooo...cha muhimu ni kufanya lile unalolipenda ukitaka kuwafuatisha hawa binadamu utakonda
nimesema siyo mimi.
aisee wasije wakaweka Kei feki!!!