primolut N
JF-Expert Member
- Feb 9, 2018
- 391
- 317
Matatizo ya kuandikia thread chooniNilipoyaanzisha kama na huyu binti.
Tarehe 11 mwezi novemba 2017 nikiwa ndo naanza muhula wangu wa mwisho pale chuoni.
Mdogomdogo tukaenda mpaka nikajua ndo mke wa ndoa. Kumbe tapeli tu na Mganga njaa?
Mpaka nikataka nimtambulishe nyumbani lakini nikasita.
Nikapata matatizo hakujali
Lakini nashukuru sana kanifundisha mno.
Ni kweli!Yaani huyu jamaa ndo maana aliahirisha clinical meeting
Hata kuclark wagonjwa ni shida
Teh