FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,409
Goosh!The Death Of My Beloved Father...nakumbuka siku, saa, tarehe, sehemu na tukio lenyewe and the worse part is i saw how the death happened.
Mi naomba nikuPM kitu kilichonipata ambacho siwezi kukiweka hapa hadharani...Ni cha kushangaza na utata mno!
Amani iwe nanyi wana JF
Ni kitu/ vitu gani ambavyo vimewahi kukutokea katika maisha yako katika umri wowote vya kufurahisha au kukuhuzunisha ,kitu ambacho mwenyewe
ukikumbuka unajikuta unacheka sana ,unatabasamu ,ama unahuzunika mwenyewe …
Hebu tu….chit- chat hapa!
Nawasilisha
FL
:A S-coffee:
The Death Of My Beloved Father...nakumbuka siku, saa, tarehe, sehemu na tukio lenyewe and the worse part is i saw how the death happened.
Nilipo mfumania mwenzangu akiwa na mwenzake wa jinsia moja
PJ dah..acha tu sijui hata kwanini nime-comment kwenye hii topicGoosh!
Too Bad!
Hope this was a very alien situation!
ni PM na mimi pia
mwenzako ndo alikuwa ana Devidiwa Cameruniwa?
Wkt nakaribia nilisikia harufu ya kinyesi nikawa najiuliza kimetoka wapi salale kumbe kamshikisha ukuta mme mwenzie sitaki kukumbuka kabisa
Kha! Pole sana aisee
The Death Of My Beloved Father...nakumbuka siku, saa, tarehe, sehemu na tukio lenyewe and the worse part is i saw how the death happened.
Mi naomba nikuPM kitu kilichonipata ambacho siwezi kukiweka hapa hadharani...Ni cha kushangaza na utata mno!
Nikiwa darasa la saba mwalimu akawa anafundisha nishati. Akasema mwanga ni nishati inayotuwezesha kuona, nikamuuliza giza ni nini? Nilikula fimbo za kutosha.
Nikiwa sekondari nilimuuliza mwalimu mkuu, dagaa kwa kiingereza anaitwaje, nikapewa suspension ya mwezi mzima.
Walimu wa shule za upe na za kata hatari kabisa