Ndugu yangu akili yako bado haijakusaidia....wasukuma mnatabu saaana!
kwaiyo ulivyosikia kuna choo ndio ukavutika ukifiri utakatiwa siti ya chooni?
Nimetoa Dodoma kuja mwanza nimelipa nauli luxury gari unaambiwa ina choo ndani Ila tumejazwa tiketi moja wamekatiwa watu wa tatu nyingine hadi wa 4 Hewa hakuna hewa nzito watu wamekaa mpaka kwenye korido limejaaa
Traffic kazi yao ni kukagua kitabu cha tiketi mkuu, huonagi wakisimamisha gari badala ya kukagua gari na kuongea na abiria, konda anawafuata na kitabu kikishakaguliwa mnaendelea na Safari hata kama gari imesimamisha abiria.Uyasemayo ni kwa kampuni nyingi sana na ndipo utajiuliza mwaswali
Soma HAPA pia
- Traffic polisi wanafanya nini njiani maana hao abiria wanaozidi hawafungi mikanda ya usalama je usalama wao unakuwa wapi?
- Sumatra nao wapo, ni jukumu lao kuhakikisha abiria anasafiri katika hali ya usalama, lakini wamejifungia maofisini muda wote badala ya kuwa barabarani kushughulikia kero za wasafiri
Traffic kazi yao ni kukagua kitabu cha tiketi mkuu, huonagi wakisimamisha gari badala ya kukagua gari na kuongea na abiria, konda anawafuata na kitabu kikishakaguliwa mnaendelea na Safari hata kama gari imesimamisha abiria.
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Dar blue dar lux basi hamna nyingine na huo ndo ukweli nimesahahu kupanda mabasi mengineUsafiri wa mabasi kwa nchi yetu bado haina tofauti na daladala, ukikuta gari luxury wahudumu wana lugha mbaya au sauti ya juu ya radio, wengi wao sio nadhifu na hawana ujuzi wa kutatua kero ndogo ndogo za wateja wao. Route ya dar to mwanza ile kampuni ya rangi ya blue afadhali, wengine ni kama umepanda lori.
"Supplanter"
na wewe ndugu yangu wa sengerema wewe!!au sababu unazionaga zinapita hapo sengerema?hahahaaaaaa kidin'
POLE MKUU ITABIDI TUMUOMBE SHABIBY AANZE RUTI YA MWANZA KWA KWELI!Nimetoa Dodoma kuja mwanza nimelipa nauli luxury gari unaambiwa ina choo ndani Ila tumejazwa tiketi moja wamekatiwa watu wa tatu nyingine hadi wa 4 Hewa hakuna hewa nzito watu wamekaa mpaka kwenye korido limejaaa. Huwezi hata kwenda hicho chooni watu wamesimama
Wahudumu wanazungumza lugha mbaya Kauli mbovu kwa Wateja.
Naomba sumatra stand haikagui vizuri zikagueni Kama watu wote wamekaa au gari chooni kinafanya kazi au fridge inafanya kazi ac nzima.
Iendane na Nauli unayolipa. Satco
Apple i