kigogo1ivi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2013
- 539
- 343
Wew mwenyew unafnya kaz gan,umri muonekano wako ulshawh kuowa ukacha au vip-ila kama huna pesa bora upige kimya
Haya kina koku tema koku shubira koku banza katusime.karungi. byera kuja hapa mnatafutwa
Jamanii jee mm wa huku dar sitakiwi
Ukiweza kuhamia mwanza nduh tabu[/QUOT
Sema kwanza assets ulizonazo elimu yako a/c yako imeshibaa?
Ukiweza kuhamia mwanza nduh tabu
Sema kwanza assets ulizonazo elimu yako a/c yako imeshibaa?
Nimesema nimejiari na nimejenga mjengo unaotosha kuwa na familia ndio maana natafuta mke
Sina mzaha na hili kama yupo ani PM tafadhari
Mwanza kubwa hvo!!mie npo magu je nimekidh hitaji lako au unawataka wa buhongwa,airpot na wa igoma??
una mzaha ndio maana hili tangazo lako hujarepost jukwaa husika la love connect.
Sichagui mtaa wala kata km upo tayari njoo kwa PM
Magu bado upo mwanza. KaribuHata magu waja??
inamaana humu wanawake wote wameolewa?