"Sitamuibia Mwalimu tena" Ni kauli iliyotolewa na mwizi baada ya kuiba wallet ya Mwalimu na kukuta yafuatayo:-
1. Majina ya wapiga kelele darasani
2. Majina ya waliochelewa namba
3. Majina ya watoto waliokopa ubuyu
4. Orodha ya vitu alivyokopa dukani
5. Kadi za michango ya harusi
6. Kalamu nyekundu iliyoisha wino
7. Salary slip yenye makato ya FINCA
8. Risiti ya ATM inayoonyesha salio 3.75
Mwizi akaapa "kamwe sitapoteza muda wangu kumuibia Mwalimu"
1. Majina ya wapiga kelele darasani
2. Majina ya waliochelewa namba
3. Majina ya watoto waliokopa ubuyu
4. Orodha ya vitu alivyokopa dukani
5. Kadi za michango ya harusi
6. Kalamu nyekundu iliyoisha wino
7. Salary slip yenye makato ya FINCA
8. Risiti ya ATM inayoonyesha salio 3.75
Mwizi akaapa "kamwe sitapoteza muda wangu kumuibia Mwalimu"