"Hii serikali imekuwa inalea watumishi wanao haribu na kuiba mali za watanzania maskini, mtu anaharibu Kibaha anapelekwa Mtwara, mtu ameiba na ushahidi upo watu wanasubiri uchunguzi, tukisema CCM imeshinda kusimamia nchi hamtuelewi "
"Serikali ya CCM imekuwa inatumbua bila kufuta sheria mtu hatakama ameibia uma kunautaratibu wakuchukua ikiwa lazima uchunguzi ufanyike "
Hayo maneno ya nasemwa na mtu mmoja kwa wakati tofauti, hivi tunakuwa tunasahau tunayoyaongea au tunafikiri wasikilizaji wanasahau?