Sitaki wanaume wenye pesa

Kila la heri.

Ila ujue pesa zimo kwenye Tatu Bora ya mahitaji ya mwanadamu
1. Mungu - binadamu sote tunahitaji hii supernatural power
2. Oxygen-hii inajieleza
3. Money-transaction zote Duniani zinataka pesa.

Baada ya 1 na 2, Money isn't everything, but the only thing!
 
Neno Mungu huandikwa kwa herufi kubwa. Ukiandika mungu kwa herfu ndogo unamaanisha miungu. So kwa heshima ya huyo unayemwamini na kumuabudu. Andika Mungu na sio mungu.
Mungu humaanisha Mungu anayeaminiwa na kuwbudiwa na wakristo.
mungu humaanisha miungu inayotokuzwa na kuwbudiwa na Buddhism, Hindusim, Taosim.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…