chinkychinky
Member
- Sep 24, 2020
- 18
- 170
Pole ya nnPole sana
ww je pia hutataki wenye chapaaDoooh aiseee, Pole kwa yaliyokukuta.
et inasemekana ushapigwa mashine kwenye kupewa nauli ukapewa jelo wakat mlikwenda na V8 ukajua utalamba laki(inasemekana lakini)[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Pole ya nn
Mimi Siwezi hukumu wanaume wote wa Aina Fulani kwa kosa la mmoja au wachache..ww je pia hutataki wenye chapaa
Hahahhaahah mi dume mbonaet inasemekana ushapigwa mashine kwenye kupewa nauli ukapewa jelo wakat mlikwenda na V8 ukajua utalamba laki(inasemekana lakini)[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Agiza kinywaji mkuuMimi Siwezi hukumu wanaume wote wa Aina Fulani kwa kosa la mmoja au wachache..
Naamini wanaume wazuri na Wema wapo...Tena wengi tu.
Hata nikipata mitihani nasema Alhamdulilah...naendelea kumlilia Allaha Azza wa Jallah.
AmeeenMimi Siwezi hukumu wanaume wote wa Aina Fulani kwa kosa la mmoja au wachache..
Naamini wanaume wazuri na Wema wapo...Tena wengi tu.
Hata nikipata mitihani nasema Alhamdulilah...naendelea kumlilia Allaha Azza wa Jallah.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]...Mkuuu Acha madharau wakati Watu wana maumivu.et inasemekana ushapigwa mashine kwenye kupewa nauli ukapewa jelo wakat mlikwenda na V8 ukajua utalamba laki(inasemekana lakini)[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]