Sitaki tena mwanamke bikra

Hata kama ungemtaka ungempata wapi?
 
MKUU KWANI HAUJUI PIRIKA ZAKE,HAMU YOTE INAKUISHA NA KUTUKANA MATUSI YOTE DUNIANI KIMOYOMOYO,MIE PIA SIWATAKI KABISA,ULE USUMBUFU SIO...NA WENGI WAO UKIFANIKIWA KUMTOBOA ANAKUCHUKIA NA URAFIKI UNAISHIA HAPO,ANAENDA KUWA CHAKULA CHA WENGINE...
kama wote amuwataki kuwatoa bikra mnataka hawatoe nan?
 
Yaaan ukisikia uvivu ndo huu...mwanaume mzima unasema kutoa bikra ni usumbufu....ukipata demu bikra uwe unani pm nakufumulia halaf na ww ndo unaendelea naye.....kwel tupo tofauti kwangu mm siwez kudate na demu ambaye sio bikra maana me napendaga ule usumbufu na ukishamfumua yaan hadi rahaa maana anakuganda balaaa
 
mkuu toa " neno hapa " usipite Kimya Kimya " jina lako lina uhusiano wa kina na hii topic "...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sasa mkuu huku ni kuchimbana mimi ni mzee wa kimila haya mambo bhanaaa ,sina neno kwa sasa nikirudi labda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…