tabibumtaratibu
JF-Expert Member
- May 29, 2011
- 2,414
- 1,216
- Thread starter
-
- #61
mmmh awe nayo kweli sasa hy bikira, kwanza siku hizi watoto hawana bikira sembuse wasichana? huyo hakutaki tu kaka mbona una download taratibu???
Jaman wana jf kumbe mwanamke bikra msumbufu kinoma,ukimwambia hiv hataki, vile anagoma kabisaaa! Aah me sitaki tena.Au wana jf niambieni nifanyaje?
tabibu mtaratibu umeshindwa kutumia utaratibu wa kitabibu kumtibu bikra?
kweli kaka wasumbufu kinoma mwenyewe nimekutwa na hilo
Jaman wana jf kumbe mwanamke bikra msumbufu kinoma,ukimwambia hiv hataki, vile anagoma kabisaaa! Aah me sitaki tena.Au wana jf niambieni nifanyaje?
Dhahabu kivipi?Hutaki dhahabu au umeshindwa teknik za kufanya exploration??
Usinidanganye kweupe hivi.