Sitaki tena biashara na Tanesco

Maguge Maguge

JF-Expert Member
Sep 1, 2016
2,734
1,778
Nina mita mbili za umeme zinazoliigizia shirika kama sh 70,000/- kwa mwezi,
matumizi ni mwanga na redio tu,

Kwa kitendo cha Tanesco kupandisha bei ya umeme baada ya gesi kuanza kutumika kinyume na maelezo yake ya awali ya kupunguza bei ya umeme baada ya kuanza kutumia kwa gesi.

Nawaandika barua wachukue vi kalkuleta vyao vinavyokula pesa yangu

Sitaki kuwalipa IPTL kwa mtindo huo, mi sina deni nao.
 
Back
Top Bottom