Sitaki tena ajira za serikali. Walichokifanya Mamlaka ya Bandari sina hamu kabisa. Unakomaa kwenye written unabutua vyema.. Oral inapita salama. Maajabu yanakuja kwenye kuitwa kazini.. Majina mapyaaa hata kwenye usaili hayakuwepo
Mkuu baadhi ya taasisi za serikali wanaajiri mwezi mmoja au miwili kabla alafu ndio wanatoa tangazo la kazi kama geresha tu na wanapitia hatua zote za usahili na unashangaa watu hawaitwi kazini