Kabisaaa yani mtu mnafika sehemu anadokoa dokoa chakula hata robo hakifiki anasema ameshiba eti sistaduu hali sana,ujinga sipendi nakula sahani yangu nikimaliza nakula na yako uliobakiza

Mi siku ya kwanza kuonana na G hata sikujifunga alifika asubuhi tulivyoingia room tu kituuuu ndio tukaenda kupata supu tulivyorudi room kitu yaan ilikuwa kama tumeajiliwa
Sina mbwembwe za kujidani sistaduu,kula uku vidole unashika chakula ka unashika nnya mi siwezi bana.Nile vizuri tu nishibe ili hela yangu iende kihalali