Sitaki kutapatapa

Mwenzio naumia ndugu yangu,leo nimempigia sim anadai imeharibika display! dah nimeshindwa la kufanya
uzuri wa mapenzi ni kwamba yakianza kuzingua dalili unaziona mwanzoni kabisa haya katiki ghafla kama umeme wa tanesco..jombaa hapo ni either unapigwa mzinga wa kitechnical zaidi au hakutaki lakini 60% ni hautakiwa so kama vipi kausha fanya kama hakijatokea kitu...akipotezea unaweka conclusion kwamba yameisha kilichobaki shukuru muda ulokua nae koz najua umejifunza mengi kutoka kwake so inabidi umove one na kua a better person to meet that some one special and treat her right..or whatever...!!!comprende amigos..!!!
 

Dah,moyo unauma
 
Last edited by a moderator:
Kaka ukiona manyoya ujuwe ....ameliwaaaaaaaaaaaaaa. Kwani wewe unadhani ni nani anapenda kutapatapa au hata kuwa playboy???...fanya fasta mpige chini huyo mlupo atakuzingua na kukutia presha bureeeeeeee

Lakn bado nampenda na hajawah nfanyia hiv et
 

Ahsante sana,ntajitahid japo itaniumiza
 
Kaka ndo mpenzio wa kwanza nin?
Yupo chuo ama?
Kama simu iliharibika display,hana namba yako akutext hata kwa jirani..
Huyo kuna mtu anamtongoza na bibie ameshaanza kukubali au anawaza kukubali ila anaona utaumia, ila mambo yakimchachia atarudi na ailavyuu za rangi zote...!!! So anapima.
Mwombe Mungu kama ni wako atakuwa wako kama sio wako, mwambie Mungu usiumie.
Pole inauma ndo vinaitwa ''vilio mapenzini''
 
soma alama za nyakati long distance is more than you think
 
Tatizo lipo hapo mkuu.
Kama una mpenzi wako Dodoma haswa kipindi hiki cha Bunge hiyo andika maumivu mkuu.
Pole sana..vumilia tu Bunge likiisha atakutafuta.
 
Tatizo lako dogo we mbahiri, sms tu hazitoshi, piga simu, nenda kamtembelee na hakikisha anakuja kukutembelea pia huko Mtwara. vinginevyo hesabu maumivu.
 
Reactions: amu

Ahsante sana,najiulza maswal meng pia bt MUNGU bado namshirikisha
 
Tatizo lako dogo we mbahiri, sms tu hazitoshi, piga simu, nenda kamtembelee na hakikisha anakuja kukutembelea pia huko Mtwara. vinginevyo hesabu maumivu.

hili lazima nilitekeleze mapema,ahsante ndugu yangu
 
Nachelea kusema ni vigumu kutabili kuwa hana mapenzi kwa sbb ulizozieleza hp juu kwa hili swl linaitaji mjadala kt yenu nyinyi wawili. Vunja ukimya zungumza naye.
 
Wa mjengoni hawaachi masalia vuta subra wamalize muhula.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…