Sitaki kumuhukumu mwanamke wangu

Hapo ulipoandika kuwa huwezi kumzuia Mwanamke kuliwa upo sahihi, kuna kipindi nilikuwa natembea na Mke wa Mtu, Mme wake akajua na akanichimba mkwara wa kufa Mtu, nikaona ngoja nimwambie yule Mwanamke tuachane, lakini wapi badala yake ndiyo akazidi kunihitaji.
 
Ikawaje
 
Broh we kuwa nao hata 100, ila still maumivu hayakwepeki.

Just imagine wewe upo JF unasononeka, yeye kule Arusha anairudishia kwa ndani baada ya kuchomoka.
Halafu akiirudishia anaendelea kulia huku akiikatikia. Halafu huyu kenge yupo hapa eti anaumia πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈ

 
Halafu akiirudishia anaendelea kulia huku akiikatikia. Halafu huyu kenge yupo hapa eti anaumia πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈ

View attachment 2802964
Nimeshangaa kuona jamaa analia lia huku, wakati upande wa pili manzi anaburudika
 
Jikaze Mwanaume. Kuchapiwa ni kawaida tu; na kila mwanaume ni lazima achapiwe angalau mara tano hivi na kuendelea. Ukilitambua hili ndipo utakapopata uhuru wako na kufurahia mapenzi bila wasiwasi. mzabzab na Mzee wa kupambania njooni muendeleze huu ushauri maana kuna mtu huku anaumia kisa eti katuma nauli halafu demu kaenda kuuchezea kwingineko badala ya kuja kwake 😁😁😁


#KuchapiwaHakuepukiki
#kitandaHakizaiHaramu
#Kuchapiwanisiriyandani
#UkichapiwaKausha
 
Kama upo romantic na unajua kubembeleza

Huyo mwanamke ni mpuuzi Tu

Mle kimbia mbaya mbovu tena mle ovyoovyo
 
Sharing is caring. Kwanza mwanamke wakumgegeda weye peke huyo wala sio mtamu. Mwanamke mtamu yule ambae anagegedwa gegedwa na de liboloz tofauti.
 
Ukishakula sahani inaoshwa anapakuliwa mwingine
 
We ndo ulikuwa umetoa nauli elfu 30 au? Ona sasa. Ungejiendea kwa dada poa,hizo njinga zinazokusumbua zingekua zimeisha, na namba ya simu wasingechukua,na ungegegeda zaidi ya mara moja. Kila ukienda,unalipia. Sasa,yawezekana huko alikopita,wao nauli walitoa laki. Na mwingine nae,huenda ametoa 70 elfu. Yaani,demu ni mali ya kamati. Ndo maana nilisema hata kwenye mahali,lazima walobinua na watakaobinua wote wachangie. Toa shea yako,na isizidi elfu 20. Akusanye kwa jamaa hao awaletee wazazi wake. Full stop
 
#Kuchapiwa hakuepukiki

Kama demu hukumkuta na bikra wivu unatoka wapi ikiwa ulikuta watu walishapita πŸ˜…
 
Broh we kuwa nao hata 100, ila still maumivu hayakwepeki.

Just imagine wewe upo JF unasononeka, yeye kule Arusha anairudishia kwa ndani baada ya kuchomoka.
Hahahahaaa

Hatari lakini salama
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…