Sitaki kumuhukumu mwanamke wangu

"Nimejifunza vitu vikubwa Sana kwenye mahusiano yangu mimi na mpenzi wangu...kwanza tu nikiri mimi ni mshamba wa mapenzi...kwa sababu haya mahusiano hayana hata mwezi ila kwata nilizopigishwa ni mpelampela mwendo wa guzi match.,.ni hatari mpaka akili imekaa sawa...!"

Jina ulilojipa tu unaonesha wazi wewe ni MSHAMBA
 
Usiwe boya acha apite uko uko..ila ulivyo jinga ukute saivi upo stand una pigwa baridi kumsubiri
 
Ina maana una mahusiano yana mwezi na mtu ambaye yuko mbali na bila shaka hujakutana naye na ukatuma nauli aje.
Nikuoe pole kuwa nauli imeliwa na kuja haji. Endelea na moyo huo huo kutoa ni moyo na si utajiri
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…