Sitaki kumkwaza mwanamke wa JamiiForums

Sakayonsa

Member
Dec 30, 2015
99
44
Poleni kwa majukumu ya siku wakuu hivi nimada gani ambazo wanawake huwa wanatoa mapovu sana zikiwekwa humu?
 
Mada ambazo zinasema tusipewe hela.......kuna vivulana kila siku vinakuja kulialia hapa eti Oooh.....nimepigwa mzinga......mara oooh.....nimeletewa invoice......wanazuia hata wanaume wanaokojoa mbali kuzungumza na sisi babes.........
 
Sio lazima kila MTU aweke bandiko Kama huna cha maana chakuandika soma za wengine.
 
Mada ambazo zinasema tusipewe hela.......kuna vivulana kila siku vinakuja kulialia hapa eti Oooh.....nimepigwa mzinga......mara oooh.....nimeletewa invoice......wanazuia hata wanaume wanaokojoa mbali kuzungumza na sisi babes.........
Hahaha preta umeniacha hoi..sikutegemea waweza kuchangia hii.
Nimekusaka kutwa nzima leo Yaeda chini, kila nikikuulizia wanasema hujaonena wiki nzima..uko wp jaman
 
He he......nimesharudi nyumbani Mongolia mkuu wangu.....
 
Ohoooo usiniharibie usiku jamani...had kifika hapa yaeda nimeteseka sana na nimefungasha vyakutosha, sikukupa taarifa ili niku surprise, nilizunguka hadi mafuta yaliisha nikatuma bodaboda akalete dareda sheli ya mkono, nifanye je sasa jamani!
 
Golddigger at work,, fanya kazi upate hela yako mwenyewe, ucje ukafumuliwa marinda kisa kupenda kula vya bure.... Preta
 
1. Usiwaulize kwann wanapenda kuomba hela.

2. Ukitongoza ukigundua mko 10 mpe zawadi ya hela maana anajua kutafta

3. Kila siku tongoza wa5 pm watakuona we kidume

4. Usimpinge #Lara 1 mpe ushirikiano mada zote

5. Ukiona mada inamuhusu Wema Sepetu changia +ve maana ni kioo chao. Ukioppose mi simo
 
Mada ambazo zinasema tusipewe hela.......kuna vivulana kila siku vinakuja kulialia hapa eti Oooh.....nimepigwa mzinga......mara oooh.....nimeletewa invoice......wanazuia hata wanaume wanaokojoa mbali kuzungumza na sisi babes.........
mbaya zaidi mjitu umetoa elfu 20000 tu* nyambaf*
 
Back
Top Bottom