Sitaki kufa njaa kitaani

Asante kwa ushauri kaka
 
Hahaa, yan mzee unatak kuanza na mshahara wa lak 5 kwa mwez wakat kwa sasa hauna mchongo wwte hata wa lak 2?? Aa mzee jishushe, watu watashindwa kukupa mchongo wa lak 3 wakijua unatak lak 5
Kaka hii sio comment yangu ni ya mtu mwingine tu mimi sijachagua mshahara wa kulipwa samahan labda ume overlook
 
Sasa kwa njaa hiyo si utaishia kuiba tu kazini.
Anyway kuna ndugu yako yuko kaliua kasema 75 kila siku 15.
Nenda kamchangamshe kidogo akome kulipa mishahara ya kindezi hivyo
Kaka ndio maana nimekuja kutafuta kazi ili nitumie jasho langu wizi sio hulka wala tabia yangu siwezi kumuibia mtu wala kuchukua kitu cha mtu
 
Kaka ndio maana nimekuja kutafuta kazi ili nitumie jasho langu wizi sio hulka wala tabia yangu siwezi kumuibia mtu wala kuchukua kitu cha mtu
Pole sana ukipata jitahidi uwe mwaminifu.
Kila la kheri
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…