Boyfriend15
Member
- Jul 22, 2022
- 45
- 102
Uko Mbeya au uko wapi ?Kwa yeyote atakejali na kupitia hii natoa shukurani zangu
Mimi ni kijana 23 years old mkazi wa mbeya nimemaliza degree ya accounting and finance in business sector bahati mbaya life la nyumbani sio rafiki so nipo nakomaa kitaani hustle za hapa na pale lakini life limekua tough sana
Naombeni kazi yeyote nipo tayari kufanya kwa sasa nimechoka kulala njaa kazi yeyote sehemu yeyote
0621774403
NAWASILISHA
Nipo mbeya mkuu
Sehemu yeyote nafanya kazi mkuuMbeya kutali kikolo ningekupa mchongo
Tatizo ni malazi, utalala wapi huku kaliuaSehemu yeyote nafanya kazi mkuu
Mchongo huo wa kias gan mkuu mpaka ashindwe kupangaTatizo ni malazi, utalala wapi huku kaliua
75k kila baada ya siku 15Mchongo huo wa kias gan mkuu mpaka ashindwe kupanga
Kwa yeyote atakejali na kupitia hii natoa shukurani zangu
Mimi ni kijana 23 years old mkazi wa mbeya nimemaliza degree ya accounting and finance in business sector bahati mbaya life la nyumbani sio rafiki so nipo nakomaa kitaani hustle za hapa na pale lakini life limekua tough sana
Naombeni kazi yeyote nipo tayari kufanya kwa sasa nimechoka kulala njaa kazi yeyote sehemu yeyote
0621774403
NAWASILISHA
Asante sana mkuuMchango ninaokupa:
1. Usikate tamaa.
2. Wakati una hustle usipoteze tabia.
3. Sala muhimu sana.
Tumepita magumu sana na sasa tunaendelea vizuri, mambo mazuri yapo njiani.
Napiga sana hizo mkuu ila nazo kuzipata ni kaziPiga saidia fundi au sehemu ya kufyatulia tofali
Mfanyie hata 500k kwa mwezi, mzee wangu. Mungu atakuongezea75k kila baada ya siku 15
Asante kwa ushauri kakaSema nini wanangu elimu ya bongo ni ya ksng kmmk hakuna kitu madogo wanachukua huko mashuleni na vyuoni ambavyo kitaa vitalainisha bomba.
Dogo cha muhimu komaa usichague kazi cheti weka chini ya kitanda na kisahau kabisa halafu zama mtaa kama mtu ambae si mwanachuo komaa.
Kwa mwezi 150k. Aje apambane tu... Kodi hapo so hata chumba Cha 20 tu75k kila baada ya siku 15
Ni yeye sasaKwa mwezi 150k. Aje apambane tu... Kodi hapo so hata chumba Cha 20 tu
Hahaa, yan mzee unatak kuanza na mshahara wa lak 5 kwa mwez wakat kwa sasa hauna mchongo wwte hata wa lak 2?? Aa mzee jishushe, watu watashindwa kukupa mchongo wa lak 3 wakijua unatak lak 5Mfanyie hata 500k kwa mwezi, mzee wangu. Mungu atakuongezea