Sitaki kuamini!!!!!

Mummy we acha tu.... Majanja mama yangu! Mie ngoja tu nirudi nyumbani maisha ya ndoa yamenishinda.. Yaan naugeuza usiku kuwa mchana?????

Aione daddito watu8

We mtoto ndio nini kuniamshia mke wangu usiku usiku wakati unajua mwenye mali kalala naye alaaah!!!
 
Last edited by a moderator:
We mtoto ndio nini kuniamshia mke wangu usiku usiku wakati unajua mwenye mali kalala naye alaaah!!!

Kwanza Shikamoo Daddito, mwanao nimepatwa na majanga we acha tu. Yaan usiku wa leo sikulala. MIe bora nirudi kwetu. Hivi kile chumba changu na kitanda na godoro bado vipo??? Hata kama havipo ni bora nirudi tu nilala hata mabanda ya uani!!!!!!!! :help: :help:
 
Mummy we acha tu.... Majanja mama yangu! Mie ngoja tu nirudi nyumbani maisha ya ndoa yamenishinda.. Yaan naugeuza usiku kuwa mchana?????

Aione daddito watu8

Pole sana bibie! Matatizo ya ndoa yakikuzidia, mwambie Baba V!
 
Last edited by a moderator:


Nyumbani kwetu ni nyumbani kwako na wakaribishwa wakati wowote binti yangu....

Chumba chako kipo huru kabisa na tumekifanyia maboresho maana tunajua ukiwa warudi, hutarudi peke yako bali na hubby wako...

Ukitaka kuja tu mtafute mama [mention[measkron akuandalie :A S-key: na aina ya mashuka utakayo....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…