Wakuu picha isha ungua, mkewangu kawaka ile mbaya. Nilipo fika2 home, kabla cja uliza ki2, nimekuta kila kitu changu kiko nje, ( siunajua nyumba ni yakwake! ) pamoja na kumuomba yaishe lakini wapi, anadai nime mdhalilisha. Kwakweli jana sikulala, nilikua nikiomba yaishe.kama ujuavyo watoto wa mjini ilifikia hatua alini2kana ma2c ya nguoni nikashindwa kuvumilia, nika kata na kufunua.kwahacra akaokota chupa iliopo kabatini na kuni pasua kichwani kwakweli nilipoteza faham, mpaka nilipo hamshwa na vidole laini mithili ya sponchi. Nilipo aka nili jikuta niko Temeke hospital. Nambeleyangu yupo nesi aliekua akini hudumia.Nili jaribu kumuuliza kama mkewangu alikuwepo pale. Jibu lili kua ni hapana. Kabla cja2lia aliingia mzee mmoja ambae ckum tambua vizuli, mikononi akiwa na vifaa kama mikasi na vitu vingine ambavyo ckuvi tambua kutokana na hali yangu kua mbaya, kwakua nili kuwa nime lala nahali yangu haikua ime tengemaa. Ila kilamuda ulivyo zidi kwenda nahali yangu ilikua iki tengemaa, nikaa mua kuinuka na kukaa kitako, haaa! Ckuamini kumuona yule mzee nilietaka kummegea mkewe ( yula mfanya kazi mwenzangu ) kwakweli staki kuamini, kwamba yeye ndio Doctor mkuu kwenye hospital hii, kwakweli lijiona maisha yangu nimemkadhi shetani. Mbaya zaidi nilimuona aki tete ki2 na yule nes, nikajiuliza ana bolada gani na mimi? Woga ulizidi kunijaa nilipo gongana nae uso kwa uso maana alionesha ishara flani ya kuni tisha, nikaona nime kwisha. Bilakupoteza muda kuna jambo lika nijia kichwani nalo ni kuomba kwenda kulibwanda kojo, kama zali yule nesi hakupinga kwakua nilionyesha dhahiri uwezo wa kunyanyuka na kutembea mwenyewe. Nikaji zoazoa mpa kaza de banho ( chooni ) kwakweli nashukuru hospitali nisha toroka yule mzee nisha muacha kwenye mitaa, kwahiyo atajua mwenyewe kama alikua na mpango wa kunitoa roho bac kesha nikosa. Ivisasa niko cafe napata maziwa na kubawabu je nirudi home nikamuombe msamaha mkewangu, au niachane nae nika lale stendi ya bus ningoje pakuchwe ili nirudi kijijini? Sitaki kuamini.