Sitaki kuamini

Kitoabu

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Posts
11,080
Reaction score
12,319
Mambo vipi pande hizo? Nahic umzima kama umgonjwa ugua pole.

Nduguzangu ( ki utaifa ) leo nimeamini "Ukistajabu ya mussa, utayaona ya firauni" kwamuda mwingi sana nime kua niki mfukuzia dada mmoja hivi tunae fanya kazi ofice moja. Kesha nizungusha sana kesha kwala viji chenji vyangu kwa wingi sana lakini kila cku nili ambulia ahadi2 laiti kama ningekua na moyo wa plastik ningesha chemsha lakini kinyume chake muuni nili fukuzia weeeee! Mpaka hapa jana2 alipo niahidi kunipa tia tunda nililo lifukuzia kwa muda mrefu ( miezi 8 )

Tukapanga mchezo wote tuumalize leo. Niliamka hasbuhi nikiwa na furaha isiyo na kifani lakini niliji tahidi mke wangu acjue kilicho moyoni mwangu. Nilimuaga mke wangu kwa kiss za uwongo na kweli na kuishia zangu kazini. kwakua tulisha panga time, mahali pa kukutana haikua tabu kati ye2. Nili mgongea sim akani julisha kua yeye kesha fika eneo la tukio.

Ckupoteza mda na mm nikawa nime fika eneo la tukio. Baada ya story mbili tatu vinywaji mdomoni kila mtu akaanza kubadilisha lugha mdomoni kwake nikaona sasa huu ni muda muafaka nilio usubiri kwa muda mwingi, nikaanza mautundu palepale tulipo mpaka wote tukawa hoi. Sasa tukawa tuna buluzana kuelekea mapokezi kwaajili ya kupata huduma ya chumba. Daaah! Hapo sasa nilicho kutana nacho ndicho kimenifanya ni andike uzi huu.

Tulipo fika mapokezi baada ya kukabidhiwa funguo kwa hali ya mshangao nika kutana na mkewangu akiwa na mzee mmoja ambae ckumtambua wakiwa wamekumbatiana huku mikono ya yule mzee ikiwa ina talii sehem za kijiji cha mke wangu. Inavyoo onekana nawao wako pale kupata huduma kama nii ngojeayo mm na yula mfanya kazi mwezangu, kabla cja lianzisha, yule dem nilie naye akashtuka na kumkunja yule mzee na kuanza kumuuliza "Umefata nini huku mmewangu?" kabla haja jibu yule mkewangu akawa kesha kimbia.

Bila kujua cha kufanya nika baki kinywa wazi nicjue pakuanzia, ikanibidi niwaache hapo yele demu na yula mzee ( mumewe ) Hivi sasa niko njiani naelekea nyumbani, ilacjui niki fika nyumbani, nikaanzie wapi kumuuliza mke wangu, yula aliekua pale ni nani yake? Pale alikua aki fanya nini? Au cjui niuchubue2? Lakini itakuaje kama akianza yeye kuniuliza nimjibu nini? Ikiwa mimi cja gonga walanini zaidi ya kuchezea2 na miela yangu kuliwa. Apanilipo staki kuamini yalio ni tokea. Ucku mwema
 
Hadithi hii kakufundisha nani,,,,,,,,,,?
 
Hadithi inafundisha
1. Tuliza b.o.l.o
2. Mla vya wengine na vyake huliwa
 
Yaani mnashikana weeeee kwenye corridor afu ndo unakwenda kutafuta chumba. Dah hii story ya uongo sasa mkeo angekuona unachezea mbunye ya watu afu ankushtua eti mwenzangu ndo unafanya nini ungesemaje. Au unatafuta chumba afu huko ndani every thing is done under control. Hata unatoka unatoka kwa style ambayo mtu anayekujua hawezi kuzania chochote.
 
Bongo movies!
Huwa sizipendi ila naomba jina lake niitafute nione namna mzee alivyokunjwa.
 
Nadhani hiki ni kipande kutoka bongo movie vyumba vimejaa ya kina king-majuto na mtanga.
 
Hadithi inafundisha
1. Tuliza b.o.l.o
2. Mla vya wengine na vyake huliwa

Afadhali kama ninge fanimiwa kula cha mwenzangu, lakini wapi? kula cjala, zaidi ya kuambulia dhwalala2
 
Dah, nimeanza kusoma very serious, kumbeeee! Haya mambo ya FB sisi hatuyapendi humu jamani, mbona hivyo!!! Arrrrggh..! Anyway kuna jukwaa linaitwa Chit-Chat, ukapata wasaa unaweza kwenda kutalii kule linaweza kukufaa..
 
Bongo movies!
Huwa sizipendi ila naomba jina lake niitafute nione namna mzee alivyokunjwa.

Ndugu ndoa yanguu ina chungulia kabuli, ww una ulizia bongo movies, amakweli ctaki kuamini
 
hakunaga maswali kwenye ngoma droo, pangeni tena tukio apatikane mshindi then tutashauri kuanzia hapo
 
Hapo ngoma droo wala hakuna ugomvi,zaidi mjirekebishe wewe na mkeo acheni uzinzi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…