Sitaki kuamini kama mpenzi wangu niliyempenda kwa moyo wote ndio ameniacha rasmi

Mapenzi ni kama daladala akishuka mtu anapanda mtu!
Vuta chuma kipya tena kikali zaidi yake!
Mwanaume hachezewi na mwanamke ndiye anayechezewa so hatupaswi kulalamika tunaposeparete bhana!
 
Alfu shukuru mungu maana huyo angekutesa hd ungejuta mizmu bdo inakupenda alf nikuambie kt ndg we endelea naaisha na km ukpta mwngne oa lkn tambua hv yaani narudia tambua hv ipo ck ww huijui anaijua mungu wko huyo atakutafta kw hl na mal akilia kuwa huko alkoenda ametendwa. Amina
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo.... Na Leo ndio kaamua kurudisha rasmi zawadi na vitu vingine ambavyo nilimnunulia wakati wa mahusiano yetu...
Hapa nilipo machozi yananitoka kwa kuangalia hivi vitu nilivyo mnunulia wakati huo mapenzi yetu yalipokuwa moto moto na nashindwa nivipeleke wapi maaana kadli ninavyozidi kuviangalia ndipo moyo unazidi kuumia Sana... Just nitoe tyu angalizo kwa vijana wenzangu wawe makini na hawa wadada wanaowakabadhi mioyo yao muda wowote wanabadilika....na wanaweza kukua kwa presha...
Mwisho kabisa mapenzi yana nguvu na yana umiza Sana "SIDHANI KAMA NITAKUJA KUMWAMINI MWANAMKE TENA " katika maisha yangu yote hapa duniani
Ze duduz,kwa jina hilo linalofanana na dawa ya kimasai sidhani kama mademu watakusalimisha.
 
Ilo angalizo kaa nalo mwenyewe,laweza kukusaidia ukitaka kupenda tena.

Kuumia kwako isiwe conclusion katika mapenzi ya wengine.
 
Eti uvipeleke wapi.....peleka kwa mama yako kule kuna walio na uhitaji kuliko huyo uliyemnunulia
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo.... Na Leo ndio kaamua kurudisha rasmi zawadi na vitu vingine ambavyo nilimnunulia wakati wa mahusiano yetu...
Hapa nilipo machozi yananitoka kwa kuangalia hivi vitu nilivyo mnunulia wakati huo mapenzi yetu yalipokuwa moto moto na nashindwa nivipeleke wapi maaana kadli ninavyozidi kuviangalia ndipo moyo unazidi kuumia Sana... Just nitoe tyu angalizo kwa vijana wenzangu wawe makini na hawa wadada wanaowakabadhi mioyo yao muda wowote wanabadilika....na wanaweza kukua kwa presha...
Mwisho kabisa mapenzi yana nguvu na yana umiza Sana "SIDHANI KAMA NITAKUJA KUMWAMINI MWANAMKE TENA " katika maisha yangu yote hapa duniani
 
Pole mkuu, niko katika situation kama hiyo inauma kuliko msiba, Naamini mungu kaniepusha coz dalili hazikuwa nzuri toka mwanzo,
Sijakataa tamaa naamini pia yupo ambae tutaridhiana
 
Pole mkuu ,
Chukua hizo Zawadi MPE mwanamke mwingine unahc unakupenda kwa lengo LA kuepusha tress , au MPE mdada yoyote yule.
 
Tatizo ulipenda yoteyoteeeee.. Ahh mwanamke usimpe moyo 100% MPE 50% but pretend umempa 100% ukiona dalili ameanza kubadilika tafuta kamchepuko kama insurance... Utaumia akikuuacha lakini sio sana... My friend kama ulikuwa huna insurance uwiiiihh unaweza kufa kwa mawazo... Mimi nilishatafunaga vocha kabla sijaweka kwenye simu laleq since that first relationship of I sirudiagi kosa yani.. Insurance muhimu kukiwa na dalili ya ajali lakini.. Unamwacha MTU afu hujutii noma sana.
Mapenz hayaigizik mkuu , hyo inakuwa mwanzon kwa sisi wanaume ila ukiendelea kukaa na mwanamke ndio unazd kumpenda na kuwekeza kwake kama wew ni kijan mwenye malengo japo unawez ukawa unapga nje ila mmoja utamuelewa tuu
 
Kazi kubwa ya mwanamke ni kupata k ila pia unaweza ukaamua kumpa moyo wako km huna kaz nao.
 
ndo mana dume la mbegu hutakiwi kuwa na demu mmoja .....unatakiwa uwe na sub na super-sub ili inapotokea uliyempanga akigoma kucheza unaweka sub, sub ikizingua unaweka super-sub unakamilisha mchezo....kiasili mwanaume ni polygamist sasa kama we una demu mmoja endelea kuumia roho....hata wanyama, mfano simba unakuta majike yako hata matatu dume moja, ila huwezi kuta madume matatu jike moja kamwe...
 
Pole sana mkuu hawa viumbe wanahitaji kuishi nao kwa akili sana otherwise utaishia kulia Lia mwanaume........ Angalia ulipoanguka siyo ulipo jikwaa
 
Back
Top Bottom