Kwa hizo skills zako ni bora ujiajiri tu, mimi nipo beginner level ya kuzimaster hizo skills ulizo nazo kwa kua una 2 clean years worth of experience naamini unafahamu kivipi hiyo industry yako inavyofanya kazi na pia nakumbuka ulishawahi kuweka post ya ku revolutionize movie making in Tanzania so how are you going to revolutionize by being employed? personally napenda 3D animation, Video Making/ Editing/ motion graphics na web designing maana naamini nikimaster hivyo i have a bright future ahead of me...so think out of the box kaka...