Sitaki dawa

Fix tuu hamna kitu hapo! Thread nyingine kasema ameoa mwaka 2015 hapa ameathirika 2016
 
Thread nzuri lakini ndefu sana nitaisoma wakati wa likizo
 
Binafsi nimekuelewa vyema, tatizo ni kubwa kwa jamii yetu wengi ni "close minded" sio kwa suala hili tu hata kwa mambo mengine ya msingi kama vile masuala ya kiimani za dini, siasa nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…