Siwamilele
JF-Expert Member
- Oct 22, 2019
- 288
- 730
Ndiyo sera zenu hizi? Mmepanic vibaya hakiya nani!Kama misukule wa CHADEMA waliomo humu ndo wanaakisi fikra za viongozi wao wa chama, basi mimi Ngabu nasema sitaki kabisa hao watu washike madaraka.
Kwa nini nasema hivyo?
Kwa sababu hawa misukule wa CHADEMA ni wapumbavu kabisa.
Sijawahi kuona watu walio watupu kichwani kama hawa watu.
Katika akili [kama wanazo] zao eti huwa wanashangaa kwa nini mtu ambaye labda wao wanaona ni mwanaCCM, anakamatwa, anawekwa ndani, na kufunguliwa mashitaka.
Mimi nataka utawala ambao hautokuwa unapendelea. Utawala ambao hautoangalia mwelekeo wako wa kichama.
Kama chama tawala ni CCM basi ningependa kuona hata wanachama wa CCM wavunjao sheria, wakishughulikiwa.
Hizi habari za wana CHADEMA kusema kuwa ‘unaona sasa, wakimalizana na sie, watahamia na kwenu’ ni za kijinga na kipumbavu kabisa.
Sijui wao wangekuwa madarakani wasingewashughulikia wenzao kama hao wenzao wangevunja sheria?
Hawa CHADEMA ni wapuuzi kabisa. Ni wa kupuuzwa.
Lady Justice is supposed to be blind. She should apply justice without fear or favor.
All you CHADEMA fanboys and girls can go pound sand.
Mpaka taya limwagike.
Jamaa mbeba box lkn anajikuta mjuaji kinomaUtabeba mabox huko mpaka makalio yachubuke.
Kumbe comred Ngabu vipi mkuu uko salama hapo USADuh [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Kamanda wa wapi wewe?
Lete wewe Picha za iringaSasa chadema itashindaje kama mtu analeta picha kama hii nakusema hapo ni Iringa na Lisu kaifuta ccm Iringa leo hii?
Hivi ni sehemu gani Iringa kuna minazi?
Chadema hii ya Lisu ni aibu tupuView attachment 1568603
Inaonesha hata ubongo wako ni mweusi, ndo mana unawaza ushuzi saa zote..😁Kwa hiyo unapenda vidole vyeupe? 🤣
Najua nini?Jamaa mbeba box lkn anajikuta mjuaji kinoma
Toka ulivyoletwa mjini moja kwa moja kutokea biharamulo hadi korido za Lumumba Basi ukafikiri Ni Dar tu ndio Kuna minazi?Sasa chadema itashindaje kama mtu analeta picha kama hii nakusema hapo ni Iringa na Lisu kaifuta ccm Iringa leo hii?
Hivi ni sehemu gani Iringa kuna minazi?
Chadema hii ya Lisu ni aibu tupuView attachment 1568603
Ndio pale unapokosa point,kwanini unatoa matusi?Wewe ni Mungu tukubaliane na mawazo yako?nenda Kanye ulale
Kwa hiyo wewe kama hujui kingereza na ukaambiwa hujui kuna shida?Lissu anateswa na superiority complex.
Anasema watanzania hawajui kingereza kasahau kuna walimu waliomfundisha hicho kingereza na haoni kama kawakosea heshima.
Mwenyekiti aliteleza kutokana na hii kituTake it slow...boy
Haya vuta pumzi...shushaaa,vuta tena,afu shusha...haya ongea View attachment 1568586View attachment 1568591View attachment 1568591View attachment 1568591sasaView attachment 1568586
Wewe unajua?Kwa hiyo wewe kama hujui kingereza na ukaambiwa hujui kuna shida?
Kama misukule wa CHADEMA waliomo humu ndo wanaakisi fikra za viongozi wao wa chama, basi mimi Ngabu nasema sitaki kabisa hao watu washike madaraka.
Kwa nini nasema hivyo?
Kwa sababu hawa misukule wa CHADEMA ni wapumbavu kabisa.
Sijawahi kuona watu walio watupu kichwani kama hawa watu.
Katika akili [kama wanazo] zao eti huwa wanashangaa kwa nini mtu ambaye labda wao wanaona ni mwanaCCM, anakamatwa, anawekwa ndani, na kufunguliwa mashitaka.
Mimi nataka utawala ambao hautokuwa unapendelea. Utawala ambao hautoangalia mwelekeo wako wa kichama.
Kama chama tawala ni CCM basi ningependa kuona hata wanachama wa CCM wavunjao sheria, wakishughulikiwa.
Hizi habari za wana CHADEMA kusema kuwa ‘unaona sasa, wakimalizana na sie, watahamia na kwenu’ ni za kijinga na kipumbavu kabisa.
Sijui wao wangekuwa madarakani wasingewashughulikia wenzao kama hao wenzao wangevunja sheria?
Hawa CHADEMA ni wapuuzi kabisa. Ni wa kupuuzwa.
Lady Justice is supposed to be blind. She should apply justice without fear or favor.
All you CHADEMA fanboys and girls can go pound sand.
Kumbe na wewe humo kwenye wale wana pound sand? Sikujua!Wewe ni Mungu tukubaliane na mawazo yako?
Kama lofa mwenzenu na muasisi wa lofa anavoliwa na funza kaburini sasaTena ni malofa haswa
Hata wewe utaliwa na funza, au hujui?Kama lofa mwenzenu na muasisi wa lofa anavoliwa na funza kaburini sasa
Haikusaidii kitu.Jikaze, leo nyani ataona kundulo!
Ndio maana nakushangaa unavowaita wenzio malofa wakati lofa na asie lofa wote wataliwa na funza, mafano mzuri ni first class lofa hatunae tena sasaHata wewe utaliwa na funza, au hujui?