Sitaki CCM lakini namtaka Magufuli

Sitaki CCM lakini namtaka Magufuli

Umefanya uamuzi sahihi kwasababu ukikosea kuchagua utajuta miaka mitano.
 
Huyu mzee angekua amehamia Ukawa ningempa kura yangu
 
Huyu mzee angekua amehamia Ukawa ningempa kura yangu

Whatever the case,staki kupiga kura ya hasira,kwa sababu nitapata hasara.Najua fika sichagui malaika,kwa wagombea hawa wawili LOWASA Vs MAGUFULI mwenye unafuu ni MAGUFULI.Nitampa kura yangu,napenda mabadiliko na nitakua mwanamabadiliko chanya daima
 
Huyu mzee angekua amehamia Ukawa ningempa kura yangu

Kwanza hongera kwa kukubali uchapakazi wake. Hatua ya pili mpigie kura 25/10 ili aanze kazi yake ya Urais na motto yake ni nzuri mno "Hapa Kazi Tu"
 
Hongera kwa kufikia uamuzi huo !....ila mimi ninaamini uamuzi wako huo sio sahihi....umekosea !

Kwangu mimi pamoja na familia yangu, marafiki zangu na baadhi ya watu wengine ninaowafahamu, tumeamua kwamba mwaka huu, CCM pamoja na Magufuli wake hatutawachagua kabisa !.

Tutachagua UKAWA kuanzia urais mpaka udiwani.....
 
Haahaahaaa sitaki nyama ya nguruwe ila mchuzi wake nataka! Hivi unawezaje kumtofautisha magufuli na CCM? illogical reasoning!
 
Hiyo ndo demokrasia hata Mimi Magufuli anafaa wala sitailaumu nafsi yangu.
 
Nimemsikiliza sana Magufuli ni mahiri kwa kupiga domo. Nikamsikiliza na Lowassa ni mahiri sana wa kutoa maneno yenye hekima na busara. Nikagundua rais atakayetufaa wana wa nchi ya Tanzania ni Lowassa, hivyo basi mimi na nyumba yangu tutampa kura Lowassa! Hii ni kutokana na ukweli kwamba awamu iliyopita tulikuwa na Rais Kasuku haijapata kutokea, lakini maendeleo holaaaaa! Hivyo sitaki tena kumwona Kasuku akienda ikulu kwenda kupiga porojo. Tunahitaji maneno machache vitendo zaidi!!
 
Asante Mkuu,mimi kwa kweli sina msaada mwingine kutoka ndani ya nafsi yangu kwenda idara ya maamuzi ya akili yangu.Sina jinsi nitampa Magufuli...nitafanyaje sasa......?
 
Udiwani na ubunge ukawa.
Ila kura yangu ya Urais ni kwa Magufuli.
Edo na Pombe wote wana mapungufu.
Ila Pombe ana nafuu Mara mia .
 
Haahaahaaa sitaki nyama ya nguruwe ila mchuzi wake nataka! Hivi unawezaje kumtofautisha magufuli na CCM? illogical reasoning!
Democracy brah...! Muache aamini anachoamini. Hata mimi nilikuwa mfuasi mzuri wa upinzani, at the end naona upinzani hawana lolote. I'd rather vote for Magufuli.
 
Pamoja; mimi magufuri sio ccm.
 
Endeleeni kuichagua ccm ili mpate maisha bora kama tulivyo yapata kwa Kikwete huduma bora za afya na maji ya uhakika Elimu bora kuliko hata jirani zetu wakenya na warwanda pamoja na shilingi imara zaidi A.mashariki
 
Sumu mliyotunywesha ccm huwezi pona hata kwa maziwa ya nyati lakini ni kwa kumkatilia mbali mleta sumu ili kupona ni kuachana na muuza sumu na kujiunga na mabadiliko
 
Back
Top Bottom