Smith Rowe
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 4,543
- 9,683
Hapana mkuu hata dar sijawahi kufikaUmeshapigwa huko na kina ONTARIO
Hatari hatari forex sio kimbilio la umaskini mkuuKwa nini umeacha forex wakati ndio ilikua sehemu rahisi ya kudownload mapesa??
Sitosikiliza mkuuhongera kwa uamuzi wako, ila subiri wazee Wa forex wakukalishe fasta na msemo wao (forex not for every one)
Hakika bossUjasiria mali ni muhimu sana ila unataka commitment ya hali ya juu sana. Hongera sana ila ukiwa daktari c mbaya kwani unaisaidia jamii
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa forex ni nini?Hakika boss
Lakini malengo yangu hayapo huko wenye wito watatutibu mkuu wala usihofu hilo
Sent using Jamii Forums mobile app
Whats forex??????
Fukua/chimba/kwangua kuhusu forex utajua ni kitu gani?Hapa forex ni nini?
Kweli kabisa mkuuNi uamuzi mzuri kuwa huru na maisha enjoy ..food,sex, travel anywhere at anytime...wear anything u want...this is life
Hakika boss
Lakini malengo yangu hayapo huko wenye wito watatutibu mkuu wala usihofu hilo
Sent using Jamii Forums mobile app
iyo food sex n travel kwa sec. School boy????ok!!Ni uamuzi mzuri kuwa huru na maisha enjoy ..food,sex, travel anywhere at anytime...wear anything u want...this is life