Acha ku-copyJana demu wangu kanipigia simu na kuniambia ameibiwa simu yake ya laki8 nikamuuliza wapi kaniambia ameibiwa mjini nikampa pole alafu akainiambia nimpe laki4 na yeye analaki4 akanunue simu nyingine nikamwambia njoo geto uchukue,mida ya saa 12:30 kashafika nikampa laki4 kaondoka kwenda kwao huku nyuma mm nikavaa mkoti mrefu na maski nikakimbia nikaenda kumsubiria mbele kaja kafika kwenye kona moja hivi nikaona hapahapa ndo pakumalizia mchezo fasta bila kupoteza mda nika mpiga kabari ya maana na kuchukua laki8 yote nikatokomea zangu kufika geto2 akanipigia simu huku akiwa analia nikamuuliza kulikoni akaniambia amekabwa nakibaka na kunyang'anywa hela yote nikamwambia arudi nije nipe nyingine akaja nikampa laki4 yake na mimi nikabakia na yakwangu halafu akaniomba nimsindikize hadi kwao anahofia kukabwa tena nikamwambia alale ataenda kesho,maswala yakurudisha maendeleo nyuma sipendg laki8 yote ununulie simu wakati mm mwenye simu ya laki1 yenyewe sijawahi kununua
Usawa huu sina hela ya kuchezeaa
Ulijifunzia wapi robber mkuu, inaelekea wewe ni mzoefu na vifaa vya kazi unavyoJana demu wangu kanipigia simu na kuniambia ameibiwa simu yake ya laki8 nikamuuliza wapi kaniambia ameibiwa mjini nikampa pole alafu akainiambia nimpe laki4 na yeye analaki4 akanunue simu nyingine nikamwambia njoo geto uchukue,mida ya saa 12:30 kashafika nikampa laki4 kaondoka kwenda kwao huku nyuma mm nikavaa mkoti mrefu na maski nikakimbia nikaenda kumsubiria mbele kaja kafika kwenye kona moja hivi nikaona hapahapa ndo pakumalizia mchezo fasta bila kupoteza mda nika mpiga kabari ya maana na kuchukua laki8 yote nikatokomea zangu kufika geto2 akanipigia simu huku akiwa analia nikamuuliza kulikoni akaniambia amekabwa nakibaka na kunyang'anywa hela yote nikamwambia arudi nije nipe nyingine akaja nikampa laki4 yake na mimi nikabakia na yakwangu halafu akaniomba nimsindikize hadi kwao anahofia kukabwa tena nikamwambia alale ataenda kesho,maswala yakurudisha maendeleo nyuma sipendg laki8 yote ununulie simu wakati mm mwenye simu ya laki1 yenyewe sijawahi kununua
Usawa huu sina hela ya kuchezeaa
Kama nkufanyie vile ha ha ha haaahahahahh babe wa mtu huyo
hahahhah ww hushindwi ujue halaf akili zake kama zakoKama nkufanyie vile ha ha ha haaa
Sio dhambi mkuu, wengine hatutumii FB, wacha utuletee uhondo.Naona Umekop kastory facebook umekaleta hapa.
ha ha ha ha ha kile kitecno lazma nikipotezehahahhah ww hushindwi ujue halaf akili zake kama zako
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Jana demu wangu kanipigia simu na kuniambia ameibiwa simu yake ya laki8 nikamuuliza wapi kaniambia ameibiwa mjini nikampa pole alafu akainiambia nimpe laki4 na yeye analaki4 akanunue simu nyingine nikamwambia njoo geto uchukue,mida ya saa 12:30 kashafika nikampa laki4 kaondoka kwenda kwao huku nyuma mm nikavaa mkoti mrefu na maski nikakimbia nikaenda kumsubiria mbele kaja kafika kwenye kona moja hivi nikaona hapahapa ndo pakumalizia mchezo fasta bila kupoteza mda nika mpiga kabari ya maana na kuchukua laki8 yote nikatokomea zangu kufika geto2 akanipigia simu huku akiwa analia nikamuuliza kulikoni akaniambia amekabwa nakibaka na kunyang'anywa hela yote nikamwambia arudi nije nipe nyingine akaja nikampa laki4 yake na mimi nikabakia na yakwangu halafu akaniomba nimsindikize hadi kwao anahofia kukabwa tena nikamwambia alale ataenda kesho,maswala yakurudisha maendeleo nyuma sipendg laki8 yote ununulie simu wakati mm mwenye simu ya laki1 yenyewe sijawahi kununua
Usawa huu sina hela ya kuchezeaa
unataka kuniua naona ila ndio vizur ukipoteze ili nichukue yako mojawapo [emoji23]ha ha ha ha ha kile kitecno lazma nikipoteze
ha ha ha jiandae na roba moja matata sana ukitoka hapo una adabuunataka kuniua naona ila ndio vizur ukipoteze ili nichukue yako mojawapo [emoji23]
hamna shida nikishapigwa hiyo roba si utanipa moja au ntakuibiaha ha ha jiandae na roba moja matata sana ukitoka hapo una adabu
Mama wa watoto kala hasara. Watoto wamekula hasara. CCM wamekula hasara!hahahahh babe wa mtu huyo
ha aha ha ha kumbe untaitaka ile bas nakupa ile unatoka tu nakukaba mwenyewe then naificha after a week nazuga nmenunua nyengne stak ujinga miehamna shida nikishapigwa hiyo roba si utanipa moja au ntakuibia